kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,677
Afueni kwa mwanamume Mombasa baada ya mswaki alioumeza kuondolewa
-David Charo aliyemeza mswaki eneo la Paziani, Kilifi amepata afueni baada ya mswaki huo kuondolewa katika hospitali ya Coast General kupitia mbinu ya ‘Endoscopy’ -Matibabu hayo ya kipekee ambayo labda yalifanyika nchini Kenya kwa mara ya kwanza yalimwopoa jamaa huyo kufanyiwa upasuaji
-Hapo awali, madaktari walisema kuwa walikuwa wakisubiri mswaki wenyewe utoke pekee yake -Madaktari walikiri kuwa angalau kesi 40 za kumeza mswaki zimeripotiwa kote duniani David Charo kutoka kaunti ya Kilifi amepata afueni baada ya mswaki alioumeza kuondolewa katika hospitali ya Coast General.
Mswaki huo uliondolewa tumboni mwake kupitia mbinu ya ‘Endoscopy’ na daktari Ramadhan Omar.
Kulingana na madaktari katika hospitai hiyo, mbinu hiyo ya ‘Endoscopy’ ambayo labda ni ya kwanza kufanyika nchini Kenya ilimwopoa Charo kufanyiwa upasua