Aliyemeza mswaki' waondolewe tumboni!

Mnaijua Streisand Effect kama hamuijui nashauri muigoogle!!..Habari haikuwa na wachangiaji sababu mojawapo yawezekana hawakujua nini mleta habari alimaanisha mpaka nilipouliza maana ya neno lililotumika!..
Hmm! Wewe una stamina ya ubishi, kwani ukikubali utapungukiwa na nini!...
 
Unapigwa hadi wewe mwenyewe hutajua kama ulichokimeza kilitokea puani au sikioni. Alafu jombaa, wakishamaliza shughuli wanakudunga sindano ya kusahau. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Jamaa mzee wa nyembe hatari,haha
 
😱😱😱😱😱 Hmm!... Kweli CCM ina wenyewe! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...
Naona leo unatupia angalau sentensi moja moja. Mkuu, umehama backbench nini? πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…