Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Call a spade a spade not a big spoonEither you like or not, Rooney remains to be a big name in football, worldwide. Acha jealous.
Watu hawajui soccer ni nini. Nini Man U.
Msikilize mchizi kutoka "Coming To America"
I don't like any sport where you don't use your hands.
Hahaha. Naona unanichanganya na kaka yangu.Najifunza vitu vingi sana toka kwako. Una hoja, facts na unajua kuzitetea. Ila nai-miss sana ile avatar ya milk-way galaxy. Najua umenielewa. I mean it.
By the way ile documentary ya Guns, Germs, and Steel nimeishusha yote.
Mwambie golikipa anatumia mikonoWatu hawajui soccer ni nini. Nini Man U.
Msikilize mchizi kutoka "Coming To America"
I don't like any sport where you don't use your hands.
Hataki qualifications.Mwambie golikipa anatumia mikono
U-team unamsumbua. Msifie mtu hata kama yupo kwenye team usiyoishabikia.Either you like or not, Rooney remains to be a big name in football, worldwide. Acha jealous.
Kama no Uingereza tu INA maana hats hapa TZ hawamjuwi Rooney ! Hata kama humpendi si kwa kiasi hicho. Mimi naamini popote pale duniani unapochezwa mpira, wengi wanaoufuatilia wanamfahamu na wanamfuatilia Rooney.Habari za tukio la huyu kijana kwa vyovyote zitakuwa zimefika mbali duniani.Acha kudanganya sema labda Uingereza lkn siyo Duniani, nje ya Uingereza hakuna mtu ana give a shit about Rooney!
Ndiyo lkn hakuna anayejali ukiondoa club yake na nchi anayoishi na pengine ninyi Watanzania!
Wewe anakujua nani, je umaarufu wako unalingana na Rooney? Kaka unajulikana zaidi na shemeji, baba na mama mkwe sanasana na office mates wako. Amini usiamini dunia nzima hata na watoto wadogo all football funs wanamjua Rooney na ndiyo sababu hata kijana wa kawaida uwanja wa Taifa alimshobokea.
Kama no Uingereza tu INA maana hats hapa TZ hawamjuwi Rooney ! Hata kama humpendi si kwa kiasi hicho. Mimi naamini popote pale duniani unapochezwa mpira, wengi wanaoufuatilia wanamfahamu na wanamfuatilia Rooney.Habari za tukio la huyu kijana kwa vyovyote zitakuwa zimefika mbali duniani.
Hahaha. Naona unanichanganya na kaka yangu.
Sasa hivi naangalia "Genius".Show ya National Geographic ya kuhusu maisha ya Albert Einstein kwa mujibu wa kitabu cha Walter Isaacson.
Documentary umeionaje?
Sent from my Kimulimuli
Vipi mkuu Yahya Jammeh anaendekeaje?Niwekee Gazeti moja la nje ya Uingereza lililoandika ujaji wa Rooney Tanzania!
Daahhh!Naskia Hamorapa ameenda kumkumbatia aliyemkumbatia Rooney ili kuxkia harufu ya Rooney!![emoji85] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Ni Ebitoke sio HarmorapaNaskia Hamorapa ameenda kumkumbatia aliyemkumbatia Rooney ili kuxkia harufu ya Rooney!![emoji85] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Hiv kwa nn kila nikisoma post za wakenya ni za chuki tuu dhid ya watz kwan kuna ugomvi kati yetu bandugu? Kwan tz wamechukua wake zenu? Vip ninyi au mmeathirika na mabomu ya alshaabab? Maana cant be normal.Ndiyo lkn hakuna anayejali ukiondoa club yake na nchi anayoishi na pengine ninyi Watanzania!
Nje ya uingereza... hivi huyo jamaa aliyemkumbatia yuko ndani ya uingereza? Jf tunapomjadili Rooney tuko ndani ya uingereza? Chuki za kitotoAcha kudanganya sema labda Uingereza lkn siyo Duniani, nje ya Uingereza hakuna mtu ana give a shit about Rooney!