Aliyemkumbatia Rooney aipaisha Tanzania kimataifa

Mada ikowa wazi,huku mnatoana macho,simjikite kwenye mada husika.

Mnadhihirisha ujinga wa utanzania wenu.
 
Najifunza vitu vingi sana toka kwako. Una hoja, facts na unajua kuzitetea. Ila nai-miss sana ile avatar ya milk-way galaxy. Najua umenielewa. I mean it.
By the way ile documentary ya Guns, Germs, and Steel nimeishusha yote.
Hahaha. Naona unanichanganya na kaka yangu.

Sasa hivi naangalia "Genius".Show ya National Geographic ya kuhusu maisha ya Albert Einstein kwa mujibu wa kitabu cha Walter Isaacson.

Documentary umeionaje?

Sent from my Kimulimuli
 
Acha kudanganya sema labda Uingereza lkn siyo Duniani, nje ya Uingereza hakuna mtu ana give a shit about Rooney!
Kama no Uingereza tu INA maana hats hapa TZ hawamjuwi Rooney ! Hata kama humpendi si kwa kiasi hicho. Mimi naamini popote pale duniani unapochezwa mpira, wengi wanaoufuatilia wanamfahamu na wanamfuatilia Rooney.Habari za tukio la huyu kijana kwa vyovyote zitakuwa zimefika mbali duniani.
 
Ndiyo lkn hakuna anayejali ukiondoa club yake na nchi anayoishi na pengine ninyi Watanzania!

Wewe anakujua nani, je umaarufu wako unalingana na Rooney? Kaka unajulikana zaidi na shemeji, baba na mama mkwe sanasana na office mates wako. Amini usiamini dunia nzima hata na watoto wadogo all football funs wanamjua Rooney na ndiyo sababu hata kijana wa kawaida uwanja wa Taifa alimshobokea.
 
Niwekee Gazeti moja la nje ya Uingereza lililoandika ujaji wa Rooney Tanzania!
 
Kama no Uingereza tu INA maana hats hapa TZ hawamjuwi Rooney ! Hata kama humpendi si kwa kiasi hicho. Mimi naamini popote pale duniani unapochezwa mpira, wengi wanaoufuatilia wanamfahamu na wanamfuatilia Rooney.Habari za tukio la huyu kijana kwa vyovyote zitakuwa zimefika mbali duniani.

Niwekee gazeti moja lolote lile nje ya Uingereza, TZ na Kenya ambalo limeandika ujio wa Everton na Rooney Tanzania!
 
Hahaha. Naona unanichanganya na kaka yangu.

Sasa hivi naangalia "Genius".Show ya National Geographic ya kuhusu maisha ya Albert Einstein kwa mujibu wa kitabu cha Walter Isaacson.

Documentary umeionaje?

Sent from my Kimulimuli

Teh teh! Msalimie kaka'ko. Documentari bado naiangalia, nimeshacheck mpaka episode 2 japo naona episode one imebeba the whole idea. Hiyo episode one imenisikitisha kigodo kwa jinsi nature inavyokuwa unfair some times. Ila sijafikia conclusion mpaka nitakapomaliza espisode 3. "Genius" nimeshashusha episode ya kwanza niione.
 
Naskia Hamorapa ameenda kumkumbatia aliyemkumbatia Rooney ili kuxkia harufu ya Rooney!![emoji85] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Daahhh!

Hizi akili za mwendokasi ni noma sana
 
Naskia Hamorapa ameenda kumkumbatia aliyemkumbatia Rooney ili kuxkia harufu ya Rooney!![emoji85] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Ni Ebitoke sio Harmorapa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo lkn hakuna anayejali ukiondoa club yake na nchi anayoishi na pengine ninyi Watanzania!
Hiv kwa nn kila nikisoma post za wakenya ni za chuki tuu dhid ya watz kwan kuna ugomvi kati yetu bandugu? Kwan tz wamechukua wake zenu? Vip ninyi au mmeathirika na mabomu ya alshaabab? Maana cant be normal.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Acha kudanganya sema labda Uingereza lkn siyo Duniani, nje ya Uingereza hakuna mtu ana give a shit about Rooney!
Nje ya uingereza... hivi huyo jamaa aliyemkumbatia yuko ndani ya uingereza? Jf tunapomjadili Rooney tuko ndani ya uingereza? Chuki za kitoto

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom