OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Ananyea debeMara tu jamaa ameletewa mwaliko na Rooney
Post sent using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ananyea debeMara tu jamaa ameletewa mwaliko na Rooney
Kwa kosa gani? Nani kamshtaki!Ananyea debe
Post sent using JamiiForums mobile app
Sijaelewa hapo. Rooney kaiacha mnutd au wao ndo wamemwacha?Duniani kote hata nchi zilizoendelea matukio kama yale yapo. Rooney ni mchezaji mkubwa sana duniani hivyo tukio lile la mahaba na upendo kwa Rooney limetangazwa kwenye luninga duniani kote. Pia limempa kick hata Rooney mwenyewe na aibu kwa Morihno kwa kumuacha mchezaji mwenye hadhi ya aina ile.
Kwenu wapi mkuu?Najua lkn ni Uingereza na kwenu Bongo labda na Waafrika wengine, lkn hakuna Mtalii atatoka Spain au Uchina kuja Tanzania kwa sababu Rooney alikuwa hapa, huko ni kujidanganya!
Penye ukweli uongo ujitenga. Goli alilofunga Ron, nimeona limeonyeshwa kwenye vipindi vya michezo vya TV za aljazeera, france24,cnn,bbc,,globe ya China, skysport. Kwa mchanganyiko huo unaweza kuona kwamba coverage kama hiyo hawezi kupewa mtu ambaye si maarufu ukitilia maanani kwamba hata mchezo wenyewe haukuwa wa ushindani wo wote zaidi ya kufungua maandalizi ya msimu wa epl mwezi ujao.Ndiyo lkn hakuna anayejali ukiondoa club yake na nchi anayoishi na pengine ninyi Watanzania!