hamsa hamsa
Member
- Apr 27, 2023
- 51
- 126
Nina shaka kama tutakuwa naye msimu ufuatao,japo binafsi sitamsahauπNikiwa timamu na akili zangu zote nimeamua kuzichukua zambi zote za yule aliyefanikisha usajili wa Fiston Kalala Mayele[emoji146].
Huu ni usajili Bora zaidi kwenye ligi yetu toka kuumbwa kwa ulimwengu huu.
Hakujawahi kuwa na Mshambuliaji aliyekamilika idara zote....
Huyu Mayele angelikuwa yupo katika timu yangu ya Arsenal ubingwa wa Epl tungeutangaza mapema sana.
Uzi tayari........
View attachment 2625742
Yanga wavunje kububu unamwachia mayele halafu umlete nani sasa?Nina shaka kama tutakuwa naye msimu ufuatao,japo binafsi sitamsahauπ
Shida ni Kuwa dunia kijiji ,unaweza kuta shakta Donesk au ....Mosco walisha mwona na wame andaa mzigo wa kufa mtu π€ π€π€Yanga wavunje kububu unamwachia mayele halafu umlwte mani sasa?
Mkuu hao ni wachezaji wazuri ila Mayele ni mtu na nusu. Ni big match playerKipre cheche, Okwi, sunzu, dube, baleke
Hapa ndio Ile kauli ya ndugu zetu wa kufa kiume inaweza kutumika, Mayele hatumdai na zambi zake zote tunazibeba[emoji119][emoji119]Nina shaka kama tutakuwa naye msimu ufuatao,japo binafsi sitamsahau[emoji23]
Lile bao la pili alishapiga hesabu ya kuwahadaa ili atoe assist.Duh speed kama pikipikiππππ alivyomchukua beki lile bao la pili aseee!!!ππππ
Tunamshukuru, baada ya kuchukua vikombe vyetu basi tumtakie kila la heri maana kubaki nae sidhani kama ni rahisi.Nikiwa timamu na akili zangu zote nimeamua kuzichukua zambi zote za yule aliyefanikisha usajili wa Fiston Kalala Mayele[emoji146].
Huu ni usajili Bora zaidi kwenye ligi yetu toka kuumbwa kwa ulimwengu huu.
Hakujawahi kuwa na Mshambuliaji aliyekamilika idara zote....
Huyu Mayele angelikuwa yupo katika timu yangu ya Arsenal ubingwa wa Epl tungeutangaza mapema sana.
Uzi tayari........
View attachment 2625742
Dhambi za Mayele apewe InongaNikiwa timamu na akili zangu zote nimeamua kuzichukua zambi zote za yule aliyefanikisha usajili wa Fiston Kalala Mayele[emoji146].
Huu ni usajili Bora zaidi kwenye ligi yetu toka kuumbwa kwa ulimwengu huu.
Hakujawahi kuwa na Mshambuliaji aliyekamilika idara zote....
Huyu Mayele angelikuwa yupo katika timu yangu ya Arsenal ubingwa wa Epl tungeutangaza mapema sana.
Uzi tayari........
View attachment 2625742
Kichwani umejaza udongoChadema badala ya kufanya kampeni wamekalia kupeana vishundu
Fiston Erling Kalala Haaland Mayele ππΌππΌKuna wanaosema yule sio mayele Ni haland kavaa kinyago[emoji848]