hamsa hamsa
Member
- Apr 27, 2023
- 51
- 126
Nikiwa timamu na akili zangu zote nimeamua kuzichukua dhambi zote za yule aliyefanikisha usajili wa Fiston Kalala Mayele[emoji146].
Huu ni usajili bora zaidi kwenye ligi yetu toka kuumbwa kwa ulimwengu huu. Hakujawahi kuwa na Mshambuliaji aliyekamilika idara zote.
Huyu Mayele angelikuwa yupo katika timu yangu ya Arsenal ubingwa wa EPL tungeutangaza mapema sana.