Aliyemtungia Mungu nickname ya Jah ni nani?

Aliyemtungia Mungu nickname ya Jah ni nani?

Principal Focus

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
925
Reaction score
550
Habari wana na binti wa Mungu.

Naomba kuuliza aliyempa Mungu jina la jah ni nani? Na je alikuwa na kusudi gani?
Au pengine ni mimi nimefikiria jah ni Mungu? Maana naona mitandaoni tu " jah bless, jah akulinde" au kuna miungu mingine inaitwa jah? Maana niko njia panda.

Updates....

Tayari nimeshapata jibu, asanteni wote mlio nijuza maana nilikua sijui.
 
Jah sinikijamaica ikiwa na maana ya Mungu...ni sawa na God ,Mungu,Jehova,Allah. nk.
Ila neno likitumika kwa lugha fulani kama mixing hutoa tafsiri tofauti... Huwezi changanya kiswahili na kijamaika... Maana kilugha inatafsiri yake
 
Hata sisi tunavyo muita Mungu ni kiswahil, sii bure mataifa mengine nayo yanashangaa hili jina letu.
Ndio wanashangaa ila wanachoka zaidi pale ambapo wanajaribu kuunda sentensi kwa kutumia lugha yetu na yao. Maana kwao ni tafsiri nyingine
 
Jah ni mungu kwa imani ya kirasi.rastafarian nadhani ndio watu wanaopenda amani kuliko chochote.heshima na utu ndio nguzo yao!huwezi kukuta rasta anaongea na kufanya ujinga ujinga labda hawa wanaofuga wapate madem wa kitasha.lakini rasta original kama bob marley ni shida ingine
 
Sisi huku kwetu tunamuita INGULUVI mimj naona hapo ni suala la utofauti wa lugha tu, ndio maana huwa tunasema lugha ni sauti za nasibu... Unasibu wake unadhihirika hapo.. Yaan hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya jina na kitu chenyewe.... Hizi lugha zpo ili kurahisisha mawasiliano na ndio maana ukienda hata kwa wahind au wachina watamwita mungu kwa lugha zao kama ilivokuwa JAMAICA wanavyomuita JAH... Au hata wazungu wanamwita GOD wakat ww unamwita MUNGU huoni utofauti hapo.
 
Kupitia hili jibu basi nilishapata maana niliyokua naitaka.
 
Utakua na uelewa mdogo sana wa dini yako kama unayo
 
Sisi huku kwetu tunamuita INGULUVI mimj naona hapo ni suala la utofauti wa lugha tu, ndio maana huwa tunasema lugha ni sauti za nasibu... Unasibu wake unadhihirika hapo.. Yaan hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya jina na kitu chenyewe.... Hizi lugha zpo ili kurahisisha mawasiliano na ndio maana ukienda hata kwa wahind au wachina watamwita mungu kwa lugha zao kama ilivokuwa JAMAICA wanavyomuita JAH... Au hata wazungu wanamwita GOD wakat ww unamwita MUNGU huoni utofauti hapo.

Issue inakuja kuzungu.za lugha flan kwa watu wengine ni sawa na kumsalimia mtu kichina hapo hapo ukikosea kidogo unamwambia nataka nikukiss
 
Utakua na uelewa mdogo sana wa dini yako kama unayo

Sijaongea kuhusu dini ila kuna maneno ukitumia ukichanganya na lugha tofauti ndio huleta tatizo maana lugha unayoitumia inaweza kulitafsiri neno tofauti. Huwezi kwenda kanisani alafu uanze kusema jah awabariki, direct utaonekana umewadharu kwanza watu mnaosali nao.
 
Psalm 68:4 King James Version (KJV)
4: Sing unto God, sing praises to his name: extol him that rideth upon the heavens by his name Jah, and rejoice before him.
Ila kumbuka pia king james version kila siku huongeza maneno pia...
 
Back
Top Bottom