Aliyemtungia Mungu nickname ya Jah ni nani?

Aliyemtungia Mungu nickname ya Jah ni nani?

Habari wana na binti wa Mungu.


Naomba kuuliza aliyempa Mungu jina la jah ni nani? Na je alikuwa na kusudi gani?
Au pengine ni mimi nimefikiria jah ni Mungu? Maana naona mitandaoni tu " jah bless, jah akulinde" au kuna miungu mingine inaitwa jah? Maana niko njia panda.





Updates....





Tayari nimeshapata jibu, asanteni wote mlio nijuza maana nilikua sijui.
In the Bible King James Version (KJV) Psalm (Zaburi) 68:4 utakuta JAH imetumika kama jina la Mungu. katika versions nyingine (karibu) zote wametumia LORD
 
Back
Top Bottom