Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
Oooh nilikuwa sijui ni kilugha gani ndio maana nimeuliza.Jah sinikijamaica ikiwa na maana ya Mungu...ni sawa na God ,Mungu,Jehova,Allah. nk.
Ndio brohahahah! umefikira sana
Ila neno likitumika kwa lugha fulani kama mixing hutoa tafsiri tofauti... Huwezi changanya kiswahili na kijamaika... Maana kilugha inatafsiri yakeJah sinikijamaica ikiwa na maana ya Mungu...ni sawa na God ,Mungu,Jehova,Allah. nk.
Ndio wanashangaa ila wanachoka zaidi pale ambapo wanajaribu kuunda sentensi kwa kutumia lugha yetu na yao. Maana kwao ni tafsiri nyingineHata sisi tunavyo muita Mungu ni kiswahil, sii bure mataifa mengine nayo yanashangaa hili jina letu.
Kwani neno Jehova ni kiswahili?Ila neno likitumika kwa lugha fulani kama mixing hutoa tafsiri tofauti... Huwezi changanya kiswahili na kijamaika... Maana kilugha inatafsiri yake
Jah ni mungu kwa imani ya kirasi.rastafarian nadhani ndio watu wanaopenda amani kuliko chochote.heshima na utu ndio nguzo yao!huwezi kukuta rasta anaongea na kufanya ujinga ujinga labda hawa wanaofuga wapate madem wa kitasha.lakini rasta original kama bob marley ni shida ingine
Hapana ila kiswahili chake ni Yehova.Kwani neno Jehova ni kiswahili?
Sisi huku kwetu tunamuita INGULUVI mimj naona hapo ni suala la utofauti wa lugha tu, ndio maana huwa tunasema lugha ni sauti za nasibu... Unasibu wake unadhihirika hapo.. Yaan hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya jina na kitu chenyewe.... Hizi lugha zpo ili kurahisisha mawasiliano na ndio maana ukienda hata kwa wahind au wachina watamwita mungu kwa lugha zao kama ilivokuwa JAMAICA wanavyomuita JAH... Au hata wazungu wanamwita GOD wakat ww unamwita MUNGU huoni utofauti hapo.
Psalm 68:4 King James Version (KJV)Hapana ila kiswahili chake ni Yehova.
Utakua na uelewa mdogo sana wa dini yako kama unayo
Ila kumbuka pia king james version kila siku huongeza maneno pia...Psalm 68:4 King James Version (KJV)
4: Sing unto God, sing praises to his name: extol him that rideth upon the heavens by his name Jah, and rejoice before him.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]Issue inakuja kuzungu.za lugha flan kwa watu wengine ni sawa na kumsalimia mtu kichina hapo hapo ukikosea kidogo unamwambia nataka nikukiss
Una maanisha nini hapo?Ila kumbuka pia king james version kila siku huongeza maneno pia...