Aliyemuelewa Kipanya atujuze

Aliyemuelewa Kipanya atujuze

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Maana naona mwanamke kalala na kuna mkia wa nyoka.

Anataka kutueleza nini KP?
FB_IMG_1618463619360.jpg
 
Inahitaji ugwiji kuelewa lugha ya picha, wapo humu, watatoa majibu tu.

Maana mi naona rangi ya shuka, rangi za mkia, nywele na umbile linaloashiria jinsia ya kike. Kisha inanipelekea kufikiria mambo ya Eva/Hawa na Nyoka, halafu naona kama viashiria vya ulalaji, mara nasikia kama naambiwa sijui safari ya nani na wenyewe wapo, nakwama, naamua kuachana nayo.

Ngoja waje
 
Mwanamke kajifunika shuka la rangi ya kijani maana yake Chama kongwe.ndani ya shuka yupo mwanamke na nyoka nyuma yake.jamaa anatoa tahadhari kwa mama awe makini ndani ya Chama chake kuna madui wenye sumu kali waliopo nyuma yake

Muda wowote mama anaweza piga sumu na maadui na kama mnavyojua sumu ya nyoka ukichelewa umeisha ..tahadhari kwa mama hasa sukuma gang
 
Mbona kama mama kalala fofofo na nyoka yumo humo?? Au ndio wamekubaliana kulala pa1??
 
Back
Top Bottom