Aliyemuelewa Kipanya atujuze

Aliyemuelewa Kipanya atujuze

Shuka la kijani ni Ccm ... Kujifunika maana yake ni yumo ndani ya Ccm na mkia wa nyoka [emoji216] uliochomoza maana yake ni kwamba yeye hajui kama ana maadui ndani yake lakini sisi watu wa nje tunawaona ...
Kwa lugha nyepesi kabisa ni kwamba NDANI YA CCM PANA SHIDA
 
Sijui kma kuna mtu wa kumzindua kwenye usingizi..... akina Mpango ndio wale wale akina Kasimu
CDF atamlinda, kwa hyu sina wasiwasi
 
Mwanamke Rafiki na mashauri wake ni Nyoka ndo maana hata pale bustanini nyoka alimfata mwanamke hakumfata mwanaume na kilichotokea nadhani wote tunajua .
 
walimwambia Trump kuwa anavyohandle national issues zitamuangusha, akawa mkaidi! ona kilichomtokea,.... ONE TERM PRESIDENT
Bashiru alikuwa anataka ampindue Mama immediately mwendazake alivyokata moto ila JWTZ wakaingilia kati kumuokoa Mama. Mama ana maadui wengi sana ndani ya Chama chake.
 
Back
Top Bottom