Aliyemuelewa Kipanya atujuze

Aliyemuelewa Kipanya atujuze

Mwanamke amelala na adui kajifunika nae shuka moja. Inawezekana hajui kama ana adui ndani ya shuka au anajua ila kwasababu adui hajaonesha makali mwanamke nae kamkubatia anaamini hata mdhuru.
Af nyoka kapewa mgongo ...mh mh mh!!
 
Huyu Nyoka ni Majaliwa, Mama akiendelea kulea Nyoka ataambulia maumivu na hatimaye kifo.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] we jamaa bhana una-dare kutaja jina kabisa aisee
 
Mwanamke anawakilisha kiongozi wa juu mwanamke.

Nyoka anawakilisha adui

Unganisha hapo utaelewa kionacho endelea bungeni.


Tumeanza maandizi ya futari 2025.
Fafanua maana ya "adui" kumbuka nyoka ni wakijani[emoji216][emoji216]
 
Back
Top Bottom