Aliyemuelewa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar atusaidie na sisi kuelewa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mara zote wadau wa siasa wamehoji malengo na dhamira halisi ya ACT WAZALENDO kwenye siasa za Tanzania , mpaka sasa bado majibu yanatafutwa .

Sasa tunaomba aliyemuelewa kiongozi wao huyu atusaidie kuelewesha wengine

Mkubwa huyo amedai kwamba Wawekezaji Waje nchini Tanzania , maana hali ya kisiasa ni Tulivu , cha kushangaza Mwanachama wao ametekwa na kuteswa juzi tu huko Mbarali (hii ni kwa taarifa ya chama chake) , au kwa vile aliyeteswa ni Mtanganyika ndio maana hali inadaiwa ni shwari , angetekwa wa Mchambawima au Chake chake angepuuza ?

Screenshot_2023-09-22-12-22-54-1.png
Screenshot_2023-09-22-12-22-48-1.png
 
Mara zote wadau wa siasa wamehoji malengo na dhamira halisi ya ACT WAZALENDO kwenye siasa za Tanzania , mpaka sasa bado majibu yanatafutwa .

Sasa tunaomba aliyemuelewa kiongozi wao huyu atusaidie kuelewesha wengine

Mkubwa huyo amedai kwamba Wawekezaji Waje nchini Tanzania , maana hali ya kisiasa ni Tulivu , cha kushangaza Mwanachama wao ametekwa na kuteswa juzi tu huko Mbarali (hii ni kwa taarifa ya chama chake) , au kwa vile aliyeteswa ni Mtanganyika ndio maana hali inadaiwa ni shwari , angetekwa wa Mchambawima au Chake chake angepuuza ?

View attachment 2758171View attachment 2758173
ACT ni chama mufilisi
 
Mdau hapo juu amesema tumuombe Mungu atuamulie maana sisi kutoka uwanjani tumeshindwa

Ni sawa sawa umube Mungu kufaulu mtihani wakati kusoma hutaki
Kumuomba Mungu halaf unajifungia ndani lazima ushindwe
 
Mara zote wadau wa siasa wamehoji malengo na dhamira halisi ya ACT WAZALENDO kwenye siasa za Tanzania , mpaka sasa bado majibu yanatafutwa .

Sasa tunaomba aliyemuelewa kiongozi wao huyu atusaidie kuelewesha wengine

Mkubwa huyo amedai kwamba Wawekezaji Waje nchini Tanzania , maana hali ya kisiasa ni Tulivu , cha kushangaza Mwanachama wao ametekwa na kuteswa juzi tu huko Mbarali (hii ni kwa taarifa ya chama chake) , au kwa vile aliyeteswa ni Mtanganyika ndio maana hali inadaiwa ni shwari , angetekwa wa Mchambawima au Chake chake angepuuza ?

View attachment 2758171View attachment 2758173
Ya Mbarali ni ya kutengenezwa...false flag...

Akina Jer......a Mw.....oma ,Said U.....e ,Yesaya Mw........i ndio mainjinia....

Lile ni lipicha ilaumiwe serikali.....

Mh.Makamu wa kwanza wa Rais yuko sahihi kabisa....[emoji120]

Nchi ni TULIVU kisiasa
 
Back
Top Bottom