Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Hana tofauti na dalali mkubwa bwana Mbowe....Dalali Zitto hajui hata anafanya nini?
Alivuta mpunga mrefu 2005 kule Mara kutoka kwa "R....A"[emoji1787]
Akavuta tena 2015 baada ya yule mshenga kumfuata.....
Ni mrefu haswa ameufichia "offshore accounts" Nicaragua....jamaa kweli ni dalali kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]