Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ila CCM, kwa kweli inabidi Mungu atuamulie huu ugomvi wetu na hawa majambazi
Mdau hapo juu amesema tumuombe Mungu atuamulie maana sisi kutoka uwanjani tumeshindwaMnaweza wananchi lakini sasa hamtaki kutoka kwenye confort zone
HakikaWazanzibar baada ya Malim kufariki wamebaki yatima
Dalali Zitto hajui hata anafanya nini?Hakika
Anawaza tumbo lakeDalali Zitto hajui hata anafanya nini?
ACT ni chama mufilisiMara zote wadau wa siasa wamehoji malengo na dhamira halisi ya ACT WAZALENDO kwenye siasa za Tanzania , mpaka sasa bado majibu yanatafutwa .
Sasa tunaomba aliyemuelewa kiongozi wao huyu atusaidie kuelewesha wengine
Mkubwa huyo amedai kwamba Wawekezaji Waje nchini Tanzania , maana hali ya kisiasa ni Tulivu , cha kushangaza Mwanachama wao ametekwa na kuteswa juzi tu huko Mbarali (hii ni kwa taarifa ya chama chake) , au kwa vile aliyeteswa ni Mtanganyika ndio maana hali inadaiwa ni shwari , angetekwa wa Mchambawima au Chake chake angepuuza ?
View attachment 2758171View attachment 2758173
Mdau hapo juu amesema tumuombe Mungu atuamulie maana sisi kutoka uwanjani tumeshindwa
Yupo hoi nowAnawaza tumbo lake
Na chama kinaelekea kumfiaYupo hoi now
Hapo ndio shida yetu inapoanzia, ndio maana maccm yanafanya yanavyotakaNi sawa sawa umube Mungu kufaulu mtihani wakati kusoma hutaki
Kumuomba Mungu halaf unajifungia ndani lazima ushindwe
Hakipo tenaNa chama kinaelekea kumfia
Ya Mbarali ni ya kutengenezwa...false flag...Mara zote wadau wa siasa wamehoji malengo na dhamira halisi ya ACT WAZALENDO kwenye siasa za Tanzania , mpaka sasa bado majibu yanatafutwa .
Sasa tunaomba aliyemuelewa kiongozi wao huyu atusaidie kuelewesha wengine
Mkubwa huyo amedai kwamba Wawekezaji Waje nchini Tanzania , maana hali ya kisiasa ni Tulivu , cha kushangaza Mwanachama wao ametekwa na kuteswa juzi tu huko Mbarali (hii ni kwa taarifa ya chama chake) , au kwa vile aliyeteswa ni Mtanganyika ndio maana hali inadaiwa ni shwari , angetekwa wa Mchambawima au Chake chake angepuuza ?
View attachment 2758171View attachment 2758173
Maneno ya kipuuzi....Na chama kinaelekea kumfia
Hakika [emoji106]ACT ni chama mufilisi
Muda utazungumzaManeno ya kipuuzi....
Aliambiwa JK na hakikumfia juu ya "Yale magamba".....
Kwa sanduku la kura ccm hatuiwezi lkn kwa dua na sala Mungu atatusaidia kuwafarakanisha na wawe vitukoIla CCM, kwa kweli inabidi Mungu atuamulie huu ugomvi wetu na hawa majambazi