Aliyemuelewa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar atusaidie na sisi kuelewa

Dalali Zitto hajui hata anafanya nini?
Hana tofauti na dalali mkubwa bwana Mbowe....

Alivuta mpunga mrefu 2005 kule Mara kutoka kwa "R....A"[emoji1787]

Akavuta tena 2015 baada ya yule mshenga kumfuata.....

Ni mrefu haswa ameufichia "offshore accounts" Nicaragua....jamaa kweli ni dalali kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa sanduku la kura ccm hatuiwezi lkn kwa dua na sala Mungu atatusaidia kuwafarakanisha na wawe vituko
Mungu si wa pekee yenu...

Nasi tunaomba sana....

Na ile mizimu yetu ya kule Bagamoyo haijatuacha hataaa [emoji1787][emoji1787]
 
Vipi na mumeo?
 
Kwa nini anaongelea Tanzania? Yeye mazingira ya Zanzibar…
 
Nitajie faida 3 tu za uongo ulizopata tangu uanze tabia hiyo mbaya
 
Wao interest yao ni Zanzibar hawahusiki na Tanganyika
 
Ila uvccm nao wana mambo ya kitoto sana. Halafu wanajiona kama usalama wa Taifa vile! Kumbe ni takataka tu.
 
Mtu timamu na akili yako unajiunga act wazalendo[emoji28],si bora ubaki bila chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…