kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Binafsi nilimsikiliza Mohamed Dewji kuhusu utoaji wa 20 billion za hisa 49%. Huyu Bwana anaonekana anatoa hela lakini ananung'unika na kulalama kama vile mtu anaelazimishwa. Anataka aonewe huruma na watu wasihoji chochote kwakuwa anatoa pesa. Yaani asiwepo mtu anayehoji kwakuwa timu inaleta makombe.
Hii ni hatari sana Simba kumpa mtu kama huyu 49% peke yake kabisa kabisa. Ogopa sana mtu anayelalama wakati anakuhudumia, muda wowote atakuacha.
Ambacho sijamuelewa ni:
1. Hiyo tume ya fair competition amemalizana nayo kivipi?
2. Zile 49% hiza ni zake zote mtu mmoja? Kama sio mbona cheque imetoka kwa mo peke yake, hao wawekezaji 2 wengine wanaotakiwa na kanuni wako wapi na ni nani?
3. Alisema ameihudumia Simba 24.3b kwa miaka 4, hizo ni pamoja get collections, mauzo ya jezz, michango ya wanachama, bonuses za kuingia hatua ya makundi na robo finali, bonus za Sportpesa, zawadi za ushindi wa ligi na FA, Sportpesa, haki za matangazo na kodi za majengo ya Simba?
4. Je, matangazo yake ya mo energy kwenye jezz ya Simba thamani yake ni sh ngap, anailipa Simba kiasi gani kutangaza? Je, Iko humo kwenye 24.3b alizodai ameipa Simba?
5. Kwanini huwa analalamika kuhusu kuihudumia timu kila anapopata nafasi ya kuzungumza?
6. Je, hizo 20b ameshazilipa kwenye account ya Simba tayari au ndio anataka kwenda kuzilipa?