Aliyemuelewa Mo Dewji kuhusu uwekezaji Simba atujuze

zile kanga anazochapisha kwenye kiwanda chake na zinauzwa zina mkataba na Simba kama hazina ameruhusiwa na nani?
 
Kama akina sarpong na nchimbi waliwatoa kamasi akina chama, Bocco, Mugalu, bwalya na wengine sijui itakuwaje kwa akina makambo na mayele msimu ujao
akina Sarpong na Nchimbi wana magoli mangapi hadi uwalinganishe na kina Chama, Bocco, Mugalu, Bwalya na wengineo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…