Ivi unikulize swali unazani Mo anufaiki na chochote kupitia Simba??? Kama anufaiki na chochote kwann aing'ang'anie simba???skia ni kwambie Mo anapata faida kubwa mno kupitia Simba uyo ni Muindi waindi sikuzote kwnye maswala ya finance wanamahesabu makubwa mno na ni wabahili vibaya mno awafanyi kitu kwa kukurupuka by the way Simba n8 club kubwa Afrika mzee acha kabisa.......
Uko sahihi, wahindi hawana Cha bure never, kama angekuwa anapata hasara hata familia yake isingemruhusu.
Unadhani wanapataje hela kupitia Simba?
1. Zile hisa zake 49% anaweza kuwagawia kwa kuwauzia wenzake kwa bei kubwa ili wagawane risks
2. Urahisi kwenye biashara zake, watumishi na viongozi wengi kama polisi, TRA, mawaziri, wabunge wako ama Simba au Yanga, hivyo ni rahisi kupitisha agenda zako kupitia wao.
3. Kutangaza bidhaa zako kwa watu wengi kwa wakati mmoja. Milage.
4. Beting: Wamiliki wa timu wengi wanacheza kamali kwa kutumia mechi za timu zao kwa kupanga matokeo.
5. Kukwepa ushuru kwa kisingizio Cha kuagiza au kutangaza bidhaa kwaajili ya timu. Mfano, inatia zawadi ya TV kwa kila mchezaji lakini unaagiza containers 10 za TV kwa jina la timu ambazo zitasamehewa kulipiwa ushuru. Au kuweka tangazo kwenye vitu vya timu ambavyo vingekugarimu sana kwa kutoa Kodi ya matangazo.
6. Madawa ya kulevya: unaweza kuingiza na kutoa madawa ya kulevya kupitia bidhaa za club ambazo hazitiliwi Mashaka na kukaguliwa sana.
7. Viingilio, mikataba, na uuzaji wachezaji, zawadi (bonuses).
8. Kufahamika na kujulikana kwa kutumia jina la timu. Kupata umaarufu kunasaidia kwenye biashara zako nyingine hata zikiwa za hovyo kabisa.