fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Tuache kumtukana mo,alichofanya ni kizuri mno kwa maendeleo ta simba na soka,japo mie ni yangaIkumbukwe tume ya ushindani ilizuia mfumo wa mabadiliko baada ya kutokufuata utaratibu na kuitaka timu ya simba kuanza upya lakini hawakufanya hivyo.
Baada ya utawala mpya kuingia nchini yule nwenyekiti wa tume ya ushindani aliondolewa kinyemela akawekwa ambaye atampendelea Dewj kufanya atakavyo.
Ndivyo inavyoendelea kwa sasa huyu Dewj ukisikiliza press yake jana ni kama alienda kututukana sisi Watanzania
Imagine eti anasema aliisaidia simba badae akaiacha akaenda kuwasaidia watu wa Singida kuwapelekea maendeleo hivi huyu tapeli aliwapelekea maendeleo gani singida wakati historia inamkumbuka km mtu aliyekuwa anagawia wanawake kanga na chumvi anatumia uongo wa siasa kuiibia simba
Anasema ametumia zaidi billion 21 kwa miaka mine toka aingie simba hivi waandishi wa habari hawajamuuliza simba iliingiza kiasi gani Kati ya hizo bilion 21.
Kwann waandishi wa habari hawakumuuliza bidhaa zake zinazochofua brand ya simba amelipa shiling ngapi?
Kwann waandishi wa habari hawajamuuliza kwann uwanja wa bunju auite jina lake wakati yeye hana mchango wowote kwenye huo uwanja.
Tena kwa kiburi sana anasema aulizwe maswali machache tu.
Huyu muhindi anatumia udhaifu wa serkali iliyopo kutaka kuimiliki simba sawa anaweza kushinda kwa muda ila itafika siku utaondoka kwa aibu.
Huyu tapeli hana maisha marefu simba.
Mbaya zaidi ameanza kuhonga waandishi wa habari ili waache kukosoa uhuni wake kwenye klabu.
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app