mwayungi
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,814
- 3,079
Hilo jamaa kavulata ni jinga fulani hivi miaka yote simba ipo hakuna aliyethubutu kuweka mpungaWIVU, UJUAJI na ROHO MBAYA.
Uwe na siku njema ndugu mtanzania mwenzetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo jamaa kavulata ni jinga fulani hivi miaka yote simba ipo hakuna aliyethubutu kuweka mpungaWIVU, UJUAJI na ROHO MBAYA.
Uwe na siku njema ndugu mtanzania mwenzetu.
Tatizo mnaopiga kelele hamna hata mia acheni wenye pesa wafanye yao,Simba ilimkubali mo bila kuhoji wala kushindanishwa kutokana na Yanga kuchukua ubingwa back to back kwa miaka 3 mfululizo wakati wa Manji. Hii ni kama GSM pia ilivyoingia yanga baada ya Simba kushinda misimu mitatu chini ya mo. Tofauti ni kwamba Yanga na GSM wanapita njia nyoofu na wazi labda kutokana na umakini wa msolla na wenzake.
Mo anauza jezi? Jezi zinauzwa na uhlsport simba anapata mil 300 kwa mwaka.Sasa kuna tofauti ya nyumba yako na nyumba ya urithi. Watu wameitunza Simba tangu mwaka 1936 hata babu yako hajazaliwa, hivyo hawawezi kutokea wajanja wachache wakaipiga mnada kwa njia za kiujanjaujanja kwa bei ya kutupa ili watu wachache wanufaike.
Kaka Simba na Yanga sio timu za makombe ya CAF champions league, hizi ni timu za watani wa jadi vijiwe ambavyo jioni watu wanakwenda kupiga bao, kunywa kahawa na kutazama mazoezi. Kama mo anataka timu ya makombe kwanini asianzishe timu yake kama zile za Azam, Mamelod, TP Mazembe na nyingine za hivyo? Kama fedha anazo kwanini asianzishe timu yake badala ya kulalamikia 24.3b za kuitunza Simba? Kwanini wanakuja Yanga/Simba kama hakuna pesa ni hasara tupu? Mo atuombe radhi wanasimba kwa kutudanganya lakini kwa kusema yeye anaingia hasara tuuuuuuu. Hasemi ameuza jezi za shilingi ngapi, yeye ni hasarahasara TU kwenye conference zake zote. Kaamzishe timu yako bhana usitusimange.
Kwani thamani ya Simba ni bei gani? Inamaana kuwa kama 49% = 20bl: 51% = x; ukitafuta thamani ya x haizidi sh. 21.5bl. Hivi unataka kusema thamani ya Simba ni TZS 42bl TU? Huu ni wizi wa mchana kweupe?Tunataka tukupe wewe hiyo Simba usiyrkuwa tapeli, unaweka kiasi gani na mipango yako kuhusu Simba imekaaje? Ama ni wivu tu wa kike unakusumbua?
Saido Ntibazonkiza 2021Ikumbukwe tume ya ushindani ilizuia mfumo wa mabadiliko baada ya kutokufuata utaratibu na kuitaka timu ya simba kuanza upya lkn hawakufanya hivyo
Baada ya utawala mpya kuingia nchini yule nwenyekiti wa tume ya ushindani aliondolewa kinyemela akawekwa ambaye atampendelea dewj kufanya atakavyo
Ndivyo inavyoendelea kwa sasa huyu dewj ukisikiliza press yake jana ni km alienda kututukana sisi watanzania
Imagine eti anasema aliisaidia simba badae akaiacha akaenda kuwasaidia watu wa singida kuwapelekea maendeleo hivi huyu tapeli aliwapelekea maendeleo gani singida wakati historia inamkumbuka km mtu aliyekuwa anagawia wanawake kanga na chumvi anatumia uongo wa siasa kuiibia simba
Anasema ametumia zaidi billion 21 kwa miaka mine toka aingie simba hivi waandishi wa habari hawajamuuliza simba iliingiza kiasi gani Kati ya hizo bilion 21
Kwann waandishi wa habari hawakumuuliza bidhaa zake zinazochofua brand ya simba amelipa shiling ngap?
Kwann waandishi wa habari hawajamuuliza kwann uwanja wa bunju auite jina lake wakati yeye hana mchango wowote kwenye huo uwanja
Tena kwa kiburi sana anasema aulizwe maswali machache tu
Huyu muhindi anatumia udhaifu wa serkali iliyopo kutaka kuimiliki simba sawa anaweza kushinda kwa muda ila itafika siku utaondoka kwa aibu
Huyu tapeli hana maisha marefu simba
Mbaya zaidi ameanza kuhonga waandishi wa habari ili waache kukosoa uhuni wake kwenye klub
Nendeni mkashitaki CAS ili Simba wanyang'anywe makombe yote. Mbona nyie Utopolo mpo kimalaya malaya fulani hivi?Ikumbukwe tume ya ushindani ilizuia mfumo wa mabadiliko baada ya kutokufuata utaratibu na kuitaka timu ya simba kuanza upya lakini hawakufanya hivyo.
Baada ya utawala mpya kuingia nchini yule nwenyekiti wa tume ya ushindani aliondolewa kinyemela akawekwa ambaye atampendelea Dewj kufanya atakavyo.
Ndivyo inavyoendelea kwa sasa huyu Dewj ukisikiliza press yake jana ni kama alienda kututukana sisi Watanzania
Imagine eti anasema aliisaidia simba badae akaiacha akaenda kuwasaidia watu wa Singida kuwapelekea maendeleo hivi huyu tapeli aliwapelekea maendeleo gani singida wakati historia inamkumbuka km mtu aliyekuwa anagawia wanawake kanga na chumvi anatumia uongo wa siasa kuiibia simba
Anasema ametumia zaidi billion 21 kwa miaka mine toka aingie simba hivi waandishi wa habari hawajamuuliza simba iliingiza kiasi gani Kati ya hizo bilion 21.
Kwann waandishi wa habari hawakumuuliza bidhaa zake zinazochofua brand ya simba amelipa shiling ngapi?
Kwann waandishi wa habari hawajamuuliza kwann uwanja wa bunju auite jina lake wakati yeye hana mchango wowote kwenye huo uwanja.
Tena kwa kiburi sana anasema aulizwe maswali machache tu.
Huyu muhindi anatumia udhaifu wa serkali iliyopo kutaka kuimiliki simba sawa anaweza kushinda kwa muda ila itafika siku utaondoka kwa aibu.
Huyu tapeli hana maisha marefu simba.
Mbaya zaidi ameanza kuhonga waandishi wa habari ili waache kukosoa uhuni wake kwenye klabu.
Jamaa kawaambia hii liniSaido Ntibazonkiza 2021
"Yanga ni timu ya Hovyo. Inaendeshwa Kienyeji" [emoji23][emoji23][emoji23]