realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,982
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtaozeshwa na dini ipi? Mkitaka kuburuzana majogoo
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Mtaozeshwa na dini ipi? Mkitaka kuburuzana majogoo
Post sent using JamiiForums mobile app
Huwa hawakosekani...ha ha ha...tubishane kwa hoja na tusiwe rigid!lesson learntAlikuwepo uwanjani
HakikaKweli anastahili pongezi kwa hapa alikomfikisha
Kabisa ulimaliza yote[h=3]Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John
[/h] soma tarehe ya hii post, hivi ndivyo Magufuli alivyoibuliwa kwenye urais, kwa kukusaidia tuu sio JK wala sio CCM!.
Pasco
Magufuli hafai kuwa Rais huwezi kuwa rais kama huna vision na mtu mwenye maamuzi ya pupa na ya visasi kama katika shauri lile la shell ya mafuta ya Mwanza na pia kwenye suala zima la meli za samaki ambapo serikali iliingia hasara ya bilioni 2.8 kwa kesi ambayo jaji took only 45 minutes to render his final decision. Magufuli was/is not a presidential material. He has no team in place to run the govt. when asked who are you going to be on your team when elected he replied it is up to ccm to pick people for him. i wouldn't want such individual to be near the state house let alone work inside.
Magufuli hafai kuwa Rais huwezi kuwa rais kama huna vision na mtu mwenye maamuzi ya pupa na ya visasi kama katika shauri lile la shell ya mafuta ya Mwanza na pia kwenye suala zima la meli za samaki ambapo serikali iliingia hasara ya bilioni 2.8 kwa kesi ambayo jaji took only 45 minutes to render his final decision. Magufuli was/is not a presidential material. He has no team in place to run the govt. when asked who are you going to be on your team when elected he replied it is up to ccm to pick people for him. i wouldn't want such individual to be near the state house let alone work inside.
Pale Ikulu kuna mtu special ameajiriwa cheo cha valet, Mkapa alitoka MFA akawa rais, JK pia alitokea MFA akawa rais, hivyo nimesafiri na Mkapa ziara za nje, nimesafiri na JK ziara za nje nikaona kama huyu valet ambaye lazima awepo Kama anakula tuu mshahara wa bure na ma per diem, lakini kwa ile dress code before and after lazima tukubali kiukweli kabisa valet ni mtu muhimu na amesaidia sana, sasa suti zinamkaa, mwanzo zilikuwa zinamvaa.Hii ndio ccm nayoijua Mimi, enzi Hizo viongozi wamechoka hasa mcheck magufuli na mkapa yaani wamechakaa nguo za magufuli utadhani zimetoka mdomoni mwa ng'ombe.........
Pale Ikulu kuna mtu special ameajiriwa cheo cha valet, Mkapa alitoka MFA akawa rais, JK pia alitokea MFA akawa rais, hivyo nimesafiri na Mkapa ziara za nje, nimesafiri na JK ziara za nje nikaona kama huyu valet ambaye lazima awepo Kama anakula tuu mshahara wa bure na ma per diem, lakini kwa ile dress code before and after lazima tukubali kiukweli kabisa valet ni mtu muhimu na amesaidia sana, sasa suti zinamkaa, mwanzo zilikuwa zinamvaa.
Huyu mtu aliibuliwa hapa
PElections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Wanabodi, Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama kada tuu wa kawaida wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza seriously habari za kushtusha kidogo ambazo mimi zimenitisha...www.jamiiforums.com
Sijipigii debe as if nimemuibua mimi, mimi nilileta tuu nilichosikia, tena hapo ndio nimejitahidi sana kuhifadhi, watu wakileta humu kila wanachosikia, jf patakuwa hapatoshi.Kwa kujipigia debe tu kuhusu kuibuliwa kwa huyo hujambo.
Sijipigii debe as if nimemuibua mimi, mimi nilileta tuu nilichosikia, tena hapo ndio nimejitahidi sana kuhifadhi, watu wakileta humu kila wanachosikia, jf patakuwa hapatoshi.
Naendelea kusisitiza, heshima kitu cha bure,
Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli
Wanabodi, Huu ni wito tuu kwa wana jf kuhusu ukosoaji wa Rais wa nchi, Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ufanyike kwa staha kwa kutanguliza mbele uzalendo, na maslahi ya taifa mbele, ukiwemo utaifa. Kuitanguliza mbele Tanzania kwanza ndipo rais Magufuli afuatie. Rais Magufuli nae ni...www.jamiiforums.com
Hata kama humpendi vipi, lakini muheshimu, na si lazima kisiasa, just for the sake of Janet such a nice lady na kina Jesca, kama ilivyo kwa mwana wa mwenzio ni wako, na baba wa mwenzio ni wako, mheshimu.
P
Hapa ndipo kwenye tatizo ambalo Watanzania wanapaswa kuelimishwa elimu ya Civic education ya mihimili mitatu ya dola haipaswi kuingiliwa.Siwezi kumuheshimu dikteta, mwizi, muongo, muuaji, anayedharau katiba, bunge na mahakama na sasa anaidharau ofisi ya CAG na hii ni wiki ya tatu tangu akabidhiwe ripoti na CAG Assad lakini pamoja na ripoti hiyo kujaa maovu chungu nzima ya pesa za walipa kodi lakini kaamua kudharau na kukaa kimya. Mtu kama huyu hastahili heshima ya Mtanzania yeyote yule mwenye mapenzi ya kweli ya nchi yetu na anayeheshimu Utawala wa sheria
Hapa ndipo kwenye tatizo ambalo Watanzania wanapaswa kuelimishwa elimu ya Civic education ya mihimili mitatu ya dola haipaswi kuingiliwa.
Ripoti ya CAG, ni ripoti ya kwenda Bungeni, imekabidhiwa kwa rais ili ipate presidential powers tuu na sio kwa rais kuitekeleza, inatakiwa ijadiliwe na Bunge, Bunge litoe maazimio ndipo yarudi serikalini kwa utekelezaji .
P
BAK kuna jambo huwa hayuko sawa kabisa, ni kudhania uzalendo ni kutukana viongozi wa nchi bila kutumia busara, si suala zuriHapa ndipo kwenye tatizo ambalo Watanzania wanapaswa kuelimishwa elimu ya Civic education ya mihimili mitatu ya dola haipaswi kuingiliwa.
Ripoti ya CAG, ni ripoti ya kwenda Bungeni, imekabidhiwa kwa rais ili ipate presidential powers tuu na sio kwa rais kuitekeleza, inatakiwa ijadiliwe na Bunge, Bunge litoe maazimio ndipo yarudi serikalini kwa utekelezaji .
P