Elections 2015 Aliyemuibua Magufuli anastahiliki sifa za kipekee!!

Elections 2015 Aliyemuibua Magufuli anastahiliki sifa za kipekee!!

COtD4n0UEAAt--m.jpg





Ni nani aliyemjua John Pombe Magufuli kabla ya mwaka 1995?

Hili ni swali muhimu sana kwa wale wanaofikiria na kufuatilia siasa za Tanzania toka enzi na enzi.

Ilikuwaje Mkapa akamteua kuwa mmoja wa askari wa miamvuli just from nowhere?

Ilikuwaje kamati ya maadili ya CCM ikakubaliana kuja na jina la Magufuli kwenye tano bora ya CCM mwaka 2015 bila kujali mbwembwe za watia nia wakongwe na wakiojinadi kwa mbwembwe kwa miaka zaidi ya sita?

Ilikuwaje Magufuli akaweza kuepuka scandals za kumuangusha kama Waziri katika kipindi kilichokumbwa na scandals nyingi?

Inakuwaje au ilikuwaje Magufuli ameweza kuhimili mikikimikiki ya wizara zote alizopelekwa na kuibuka hero?

Unapojiuliza maswali haya ni lazima ujiulize ni nani hasa aliyemuibua John Pombe Joseph Magufuli.

Pia ni lazima umuheshimu aliyemuibua the coming president of URT.

Isitoshe ni muhimi kumuheshimu au kuheshimu chombo kinachoibua watu wa namna hii!
Yale madai yako malipo ya overtime kwa miaka mitatu umelipwa ? mnaposifia muwe na akiba ya maneno , haya nenda kamlilie sasa .
 
CCM ni chama kubwa.

CCM ina uwezo siyo wa kuongoza tu bali hata kutambua vipaji na uwezo wa vijana/wazee katika kulitumikia taifa.

Hata hao wanaojaribu kupambana na Magufuli katika uwanja wa siasa wanafahamu vizuri Tanzania ya sasa inahitaji uongozi wa mtu mwenye kipaji na uwezo kama Magufuli.

Kwa sasa wamebakiwa na hoja zinazosema, tatizo siyo Magufuli baada ya CCM kumteua Magufuli kuwa mgombea Urais.

Hana makandokando ya kimaisha na kiutendaji. Hachafuki hata ukitaka kumchafua.

Huyu ndiye Magufuli aliyeiburiwa na CCM.

Hii hapa picha yake akinadiwa kuwa Mbunge kwa mara ya kwanza na Mzee Mkapa.

COtD4n0UEAAt--m.jpg
Mwana Diwani Nakusalimia
 
Magufuli hafai kuwa Rais huwezi kuwa rais kama huna vision na mtu mwenye maamuzi ya pupa na ya visasi kama katika shauri lile la shell ya mafuta ya Mwanza na pia kwenye suala zima la meli za samaki ambapo serikali iliingia hasara ya bilioni 2.8 kwa kesi ambayo jaji took only 45 minutes to render his final decision. Magufuli was/is not a presidential material. He has no team in place to run the govt. when asked who are you going to be on your team when elected he replied it is up to ccm to pick people for him. i wouldn't want such individual to be near the state house let alone work inside.
[emoji16]
 
Kazi zake haswa Wakati akitumika kama waziri katika wizara mbalimbali, ndizo hasaaa zilimuibua
 
Back
Top Bottom