Aliyemuua Mkewe wa kwanza, Amuua Mke pili Tena na kufungwa miaka minne

Mawakili wa Serikali kama vile wanaona hukumu ikitoka wamemaliza bila kujali kama inaendana na uzito wa kosa.

Ameua mke wa kwanza.

Ameua mke wa pili. Kwa kipigo.

Ngumi.

Mateke.

Na vipande vya tofali.

As in mwanaume kampiga mwanamke ngumi na mateke akaona hayatoshi akahamia kwenye vipande vya tofali. Ni nani hajui kama vipande vya tofali vinaua?

Uamuzi wa kuamua kuinama, kuokota vipande vya tofali na kuvitumia kumpiga mtu ambaye tunaconsider ni dhaifu kwako haumaanishi kwamba ilikua ni dhamira yako?

Ulishaua mtu wa kwanza. Haimaanishi umegraduate kujua kwamba mtu akipigwa anakufa? Hiyo knowledge ya kwanza mbona kama imetumika mara hii pia?

Binafsi naamini jamaa anastahili maisha. Kuna kesi za watu, walimu wamechapa watoto wakafa na wakafungwa maisha. Kwanini isiwe kwa aliyetumia vipande vya tofali huku akiwa na kosa kama hilo tayari?
 
Yaani mtu unaambiwa huyu aliua mkewe wa kwanza bila kukusudia halafu na wewe unajipeleka hapo hapo kuolewa!!!
Kuna msemo unasema mwalimu wao kipofu kwahiyo jamaa mke wa tatu atampata tu akitimiza kutumikia miaka yake 4
 
Mawakili wa Serikali kama vile wanaona hukumu ikitoka wamemaliza bila kujali kama inaendana na uzito wa kosa.

Ameua mke wa kwanza.

Ameua mke wa pili. Kwa kipigo.

Ngumi.

Mateke.

Na vipande vya tofali.

As in mwanaume kampiga mwanamke ngumi na mateke akaona hayatoshi akahamia kwenye vipande vya tofali. Ni nani hajui kama vipande vya tofali vinaua?

Uamuzi wa kuamua kuinama, kuokota vipande vya tofali na kuvitumia kumpiga mtu ambaye tunaconsider ni dhaifu kwako haumaanishi kwamba ilikua ni dhamira yako?

Ulishaua mtu wa kwanza. Haimaanishi umegraduate kujua kwamba mtu akipigwa anakufa? Hiyo knowledge ya kwanza mbona kama imetumika mara hii pia?

Binafsi naamini jamaa anastahili maisha. Kuna kesi za watu, walimu wamechapa watoto wakafa na wakafungwa maisha. Kwanini isiwe kwa aliyetumia vipande vya tofali huku akiwa na kosa kama hilo tayari?
Umeongea ukweli mtupu, labda shida ni kutafsiri sheria ila alitakiwa adhabu zaidi ya aliyopewa, yaani adhubu aliyopewa ni ndogo kuliko anaye kamatwa na bangi!!!
 
Back
Top Bottom