GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
" Kama Azam FC tukiamua Kumuuza Mchezaji wetu Prince Dube kwa hapa Tanzania ni Klabu moja tu itaweza Bei yetu ila kuna Klabu nyingine isithubutu kwani itauza Jengo lake, Chura walioko Jirani na Magodoro yao yanayododa Madukani "
Amezungumza haya leo ( jioni hii ) huko Wasafi FM baada ya Kupigiwa Simu na Mtangazaji Msomi kuliko akina Maulid Kitenge na Yusuph Mkule ( ambao ni Yanga SC lia lia ) Ahmed Abdallah na Kupiga 'Dongo' hilo ambalo mpaka hivi sasa GENTAMYCINE sijajua amelielekeza Mtaa upi kati ya ile Miwili ya Msimbazi na Jangwani.