Aliyeng'atwa na Nyoka afia Kituo cha Afya kisa hana 150,000 Wilayani Babati

Dozi yake ni vi ampoule 4....

Na kila moja ni 250k....

Hapa zigo la lawama linawaendea watendaji wakuu..
Ni kweli mkuu. Huu ulitakiwa uwe mjadala wa Taifa ila kwa kuwa aliyeng'atwa sio kiongozi wala ndugu wa kiongozi huwezi kusikia wakiongelea. Huko anakotokea huyo mama kuna mbunge lakini huwezi kumsikia akiongelea vitu kama hivi.

Kazi kusifia tu huku wakiacha kujadili mambo ya msingi.
 
Na elimu hii inapigwa vita balaa ukionekana wewe wa mizizi unaitwa mchawi
 
So sad
 
Is anything working as it should in this beautiful country which has been turned into Hell on Earth ?

 
Sisi wachungaji wa ng'ombe tulikuwa tumeambiwa ikitokea mmoja wenu kang'atwa na nyoka basi anywe mkojo wa mwenzeka halafu ndo aanze kuletwa nyumbani kwa huduma zaidi. tulifanya mara2 katika kipindi chetu hakuna aliyekufa
 

Hii inaitwa
“A man died of hunger,and food was served at his funeral”
 
Watumishi wa afya hawana makosa .

Ya kulaumiwa ni serikali, mifumo yao ya uendeshaji ni mibovu na lawama huwa wanawaachia watumishi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…