Aliyeniacha, amerudi kwa spidi ya hatari

Mfano wako umeeleweka vizuri sana
 
Kuna mambo yanafurahisha sana, ndiyo yule mchepuko wako mliyokua mnavutana kisa uligoma kumbebea kipochi chake... Na usiku akakunyima game...

Cc: Mahondaw

 
Hivi hawa form six kuna wengine bado wako kitaa, au siku hizi huko national service mnaruhusiwa kutumia smartphone?
 
Hivi hawa form six kuna wengine bado wako kitaa, au siku hizi huko national service mnaruhusiwa kutumia smartphone?
Hatuendi tena masomoni, fani zitolewazo hazitatui changamoto za ajira. Ile hela ambayo ningeitumia kama ada ili kulipa posho za walimu huko vyuoni, naitumia sasa kuendeshea karakana yangu ya kuziba matairi ya baiskeli πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…