Baada ya kuniacha kwa mbwembwe akijua nitamtafuta, na sikumtafuta; augua presha na kulazwa.
Ndugu na jamaa wakawa wanamuhoji, ''equation x ni nani, na hatutaki tena kumuona akiwa na wewe, ona sasa anavyokuletea matatizo.''
Ndipo mrembo alipoamua kunipigia simu, angalau tu asikie sauti yangu kwa kujiongelesha vitu ambavyo vilikuwa havina uhusiano kwa wakati ule.
Nami kama mzoefu wa mahusiano, nikajua tu anataka nimwambie yaishe arudi kundini; ikabidi nimtumie ujumbe wa kumpa furaha unaosomeka hivi, ''nakupenda sana nakuomba tuonane leo''.
Alichonijibu, ''nikiwa tayari kuja nitakujulisha''. Baada ya masaa mawili kupita,ndipo akaniambie nimtumie usafiri ili tuweze kuonana.
Baada ya kufika, nikamkaribisha kwa ukarimu nikamuacha yeye aongee; akawa ananipiga mkwara kuwa amekuja ili tuachane na hanitaki tena,mi nikawa namsikiliza tu.
Kwa uzoefu, nikajua ni namna ya kutaka nimbembeleze ili uhusiano uendelee. Nikajishusha, nikaanza kumuomba msamaha, akawa hataki.
Ikabidi nimsogelee karibu, nikiendelea kumuomba msamaha huku nikishika mkono, shingo,kifua n.k
Mara mtoto akalegea, kuja kushtuka yuko uwanjani anacheza sebene huku akitoa ushirikiano wakutosha.
Nikawa nachochea kuni huku nikimuuliza umenisamehe? akajibu, ''sikuachi mpenzi wenye wivu wajinyonge tu''
Baada ya zoezi akawa amechangamka kweli, na baadaye akarudi kwao. Kufika nyumbani kwao, wakamuuliza, equation x anaendeleaje? huku wakiwa wanacheka.
Sasa hivi hapa nilipo, nausoma ujumbe alionitumia, '' kesho nitakuja kwa ajili ya kunipa raha tena mpenzi''