Aliyeniacha, amerudi kwa spidi ya hatari

Aliyeniacha, amerudi kwa spidi ya hatari

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Baada ya kuniacha kwa mbwembwe akijua nitamtafuta, na sikumtafuta; augua presha na kulazwa.

Ndugu na jamaa wakawa wanamuhoji, ''equation x ni nani, na hatutaki tena kumuona akiwa na wewe, ona sasa anavyokuletea matatizo.''

Ndipo mrembo alipoamua kunipigia simu, angalau tu asikie sauti yangu kwa kujiongelesha vitu ambavyo vilikuwa havina uhusiano kwa wakati ule.

Nami kama mzoefu wa mahusiano, nikajua tu anataka nimwambie yaishe arudi kundini; ikabidi nimtumie ujumbe wa kumpa furaha unaosomeka hivi, ''nakupenda sana nakuomba tuonane leo''.

Alichonijibu, ''nikiwa tayari kuja nitakujulisha''. Baada ya masaa mawili kupita,ndipo akaniambie nimtumie usafiri ili tuweze kuonana.

Baada ya kufika, nikamkaribisha kwa ukarimu nikamuacha yeye aongee; akawa ananipiga mkwara kuwa amekuja ili tuachane na hanitaki tena,mi nikawa namsikiliza tu.

Kwa uzoefu, nikajua ni namna ya kutaka nimbembeleze ili uhusiano uendelee. Nikajishusha, nikaanza kumuomba msamaha, akawa hataki.

Ikabidi nimsogelee karibu, nikiendelea kumuomba msamaha huku nikishika mkono, shingo,kifua n.k

Mara mtoto akalegea, kuja kushtuka yuko uwanjani anacheza sebene huku akitoa ushirikiano wakutosha.

Nikawa nachochea kuni huku nikimuuliza umenisamehe? akajibu, ''sikuachi mpenzi wenye wivu wajinyonge tu''

Baada ya zoezi akawa amechangamka kweli, na baadaye akarudi kwao. Kufika nyumbani kwao, wakamuuliza, equation x anaendeleaje? huku wakiwa wanacheka.

Sasa hivi hapa nilipo, nausoma ujumbe alionitumia, '' kesho nitakuja kwa ajili ya kunipa raha tena mpenzi''​
 
FB_IMG_1721295573810.jpg
 
Dah wewe bado unawaza mapenzi ,mimi nawaza pesa on how i mprove myself to a better living mapenz nishayazoega tu tangu enzi za uteenager sasaivi nimekuwa mwanaume akili yangu inawaza kikubwa zaidi yaani mafanikio yangu binafsi personal IMPROVEMENT
 
Mafanikio bila mapenzi yana umuhimu gani? Dunia hii ingekuwa na jinsia moja tu, unafiki kungekuwa na maendeleo?
Ata ile kuoga kila siku, inatokana na nguvu ya mapenzi; upite sehemu unukie ili uonekane nadhifu n.k
Lasivyo watu wangekuwa wakitembea wakinuka midomo, kutokunawa uso n.k​
 
Mafanikio ishi ki billgate sehemu yoyote ishi simple usijionyeshe una ela tulia tafakari bwana mdogo ishi simple wear simple just like mark zarckbeuer founder of fb he just simple mi ndio kodi zangu hizo i wear simple casual outfit
 
Dunia hii kila mmoja ana sifa yake ya kipekee na unatakiwa uishi kwenye huo upekee, na sio kuiga iga watu; ufanikiwe ili iweje? kwamba utajenga kiwanda cha ndege za kivita au?
 
Mimi kuna certain girl aliniblock nikamcheki namba nyingine kwanini umeniblock bla blah nyingi yaan she was want to ghost me nikamwambia kila mtu achukue time yake ,i dont beg for a woman ,i will beg for my mom lakini sio mademu hawa wa mjini
 
Back
Top Bottom