Aliyeninyima Connection jana kaja kuniomba msaada

Hongera sana mkuu
 
Very true mungu ana njia zake za kutufunza hapa hapa duniani, ila usilipize kisasi hata siku moja ,maana utakuwa huna tofauti na yeye
 
kwann hukumkumbusha

ungemjibu usinisumbue
 
Umefanya wema mbaya sana ndugu hata kama haukukusudia kulipiza ilitakiwa umkumbushe ubaya wake ili ajue maisha yanazunguka kama mwenye akili angejirudi.ila umeendelea kumwacha na tabia yake uenda atarudia kwako au kwa mwengine Mkuu kisasi ni Darasa.
 
ni sawa ila wahitimu wengi ni wahanga wa hayo mambo. Wengi wanaliwa pesa na kazi hawapati. Wakati mtu anakutapeli anajifanya ni mwema na atakusaidia kupata nafasi ya kazi mwisho wa siku anakugeuka. Mungu atawalipa.
Hongera kwa kutokuwa na roho ya kisasi ila inatakiwa umkumbushe ili ajifunze.
 
Kuna baadhi ya wafanyakazi wa pale OR-Utumishi wanaliza sana watu.Mungu anawaona.
 
Hujamfundisha chochote we fl ataendeleza tabia zake.. ulipaswa umpe funzo sio kuwa muogamuoga
 
Hujamfundisha chochote we fl ataendeleza tabia zake.. ulipaswa umpe funzo sio kuwa muogamuoga
Jamaa alipaswa kumkumbusha maana watu wanasahau na huyo mtu akifanikiwa ataendelea kuwazibia na wengine
Mim naona mleta mada ni mbinafsi hujamwambia jamaa wew ni nan na kumkanya tabia yake
 
Sawa naisubiri Mkuu.
Karma ingeishia pale pale.

Sasa umeichokoza wewe kwa kumto save menu yake. Ata save kwako. Atarudi kukupiga kivingine kwa uaminifu wako.

Utasikia yule jamaa bosi ndio alimruhusu na katupiga ... siku yako inakuja.
I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…