Aliyenipa huu 'Ujanja' wa Kuutumia huu Mseto Asante sana kwani 'Cha Moto' wanakiona.....!!!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kupumzika (Kulala) kwa muda sahihi (Saa 6), kunywa Tangawizi tupu iliyowekwa katika Maji ya Moto, kutafuna Nazi, kutafuna Vitunguu Swaumu punje 3 hadi 5 kila Siku, kunywa Maji ya Wastani, kula Kujiko kimoja (asubuhi na Usiku) cha Asali mbichi, kutafuna Karanga angalau mara moja kwa Siku, kunywa Maziwa ya Mtindi, Tikiti Maji, Ndizi Mbivu, Mbegu za Maboga zilizokaangwa, Mhogo Mbichi na Muamala wako Kiuchumi usomeke vyema kiasi.

Mpaka sasa huu Mseto umeshasaidia kuwatengeneza Watanzania wapya kadhaa huku nchi Jirani nilipo hivyo nitawaomba Watanzania muwapokee kwani naipeperusha vyema kabisa Kibaiolojia bendera Tukuka ya Tanzania.

Huwa nashangaa sana kuona Watu wanahainga na Mseto wa Congo DR wakati Mseto huu wa uhakika upo popote pale Magengeni au Masokoni.

Dear To yeye upo?
 
Am a new born🤒
 
Genta ktk 1 na 2, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom