Aliyenipa mzigo wa unga alivaa kininja

Aliyenipa mzigo wa unga alivaa kininja

Na sahivi yupo south anatupia tu mapicha insta, ngoja abebeshwe zigo lingine....
 
Nyie mnatibua tu nyongo za wasionacho a.k.a walalahoi.......

Kuna mahali nimesikia (sikumbuki vizuri ni mkoa gani) kuna mahabusu wamevua nguo kupinga kusoteshwa rumande miaka kadhaa kwa kesi kama za kukutwa na bangi na mirungi.....

Huyu aliyepitisha nusu tani ya malighafi ya cocaine uwanja wa ndege anapeta uraiani na anapata air time za kubwabwaja anavyotaka....kana kwamba faini aliyolipa huko SA imehalalisha alichokifanya uwanja wa ndege wa Tanzania.

Nadhani ni bora angepiga kimya, apige tu picha za makalio yake, atuwekee mitandaoni tuburudike...
 
Huyu anaweza kufunguliwa kesi upya maana mwanzo walisema yake sio madawa! Sasa hivi anakiri mwenye alipewa na Mtu asiemfahamu.
Kweli ana akili za Kwenye ------ tu .
 
Kwahio hapo angefanikiwa kupita nayo wakajakumalizia procedure ya hio step iliobaki ya mchanganyo wangelimaliza nguvu kazi ya Taifa hili kabisaa wakati wao wanatajirika...150kg?!
 
Hali ya uchumi nchi hii inazidi kuwa mbaya, yaani imeshuka kutoka Masogange mpaka Amber Rutty 😭
 
Back
Top Bottom