Aliyenishauri niingie kwenye kilimo cha parachichi hapa Njombe aliniingiza chaka, nimepoteza fedha na muda

Nimekuwa mkulima wa parachichi kwa miaka mingi, lakini sijawahi kuona pesa inayosemekana ipo kwenye zao hili. Kila mwaka nakutana na sababu zile zile za changamoto za soko.

Baada ya kutafakari kwa muda mrefu, nimeamua rasmi kufyeka parachichi na kubadilisha mwelekeo wa kilimo changu. Nitatumia ardhi hiyo kufuga ng’ombe na mbuzi, huku nikibaki na kilimo cha viazi ambacho kimekuwa na faida kwangu.

Kwa wasiojua, nimewekeza sana kwenye kilimo cha parachichi. Shamba langu lipo vizuri, nimetumia mbolea za asili na chumvi, nimefanya installation ya mfumo wa umwagiliaji, na kutumia madawa kama boron na copper, pamoja na booster zinazotumika hata na wakulima wa Afrika Kusini. Pamoja na juhudi hizo zote, bado sijapata mafanikio niliyotarajia.

Nimeangalia pia maisha ya wakulima wenzangu—labda wao wananufaika, lakini kwangu hali ni tofauti. Naamini tatizo kubwa lipo kwenye soko la parachichi nchini Tanzania. Serikali imeweka tozo nyingi ambazo zinadhoofisha biashara hii, na wanaofaidika zaidi ni madalali kutoka Kenya.
Ni kweli,madalali kwenye mazao mengi hapa Tanzania ndio wenye pesa ndefu,nakumbuka wakati ule Magufuli alivyopambana nao kwenye korosho na hatimaye akachemka...
 
Mkulima analalamika soko gumu la parachichi wakati hapa nilipo ka parachichi kadogo kanauzwa 2000 kiufupi Kuna uhaba wa parachichi sielew sijui shida Iko wapi.
Katika hiyo bei ya parachichi moja kuuzwa shilingi 2000, unajua mkulima anapata shilingi ngapi?
Kwa haraka haraka unaweza kukuta mkulima anavuna chini ya shilingi 500.
Hii inakupa picha gani?
Mkulima anatumika kuwatajirisha watu wengine (middle men) huku mteja akiendelea kufirisiwa na hao watu wengine.

Siku mkulima akiweza kukutanishwa na mteja moja kwa moja, mteja ataweza kulinunua (kwa furaha na amani) parachichi hilo hilo kwa shilingi 1000 na mkulima atafurahi mnoo kuuza kwa hiyo bei ya 1000.
 
Kujua soko na kutegemea serikali,kuna Jamaa Njombe anasifia na magari yake kaandika,Shikamoo parachchi:!
 
Nimekuwa mkulima wa parachichi kwa miaka mingi, lakini sijawahi kuona pesa inayosemekana ipo kwenye zao hili. Kila mwaka nakutana na sababu zile zile za changamoto za soko.

Baada ya kutafakari kwa muda mrefu, nimeamua rasmi kufyeka parachichi na kubadilisha mwelekeo wa kilimo changu. Nitatumia ardhi hiyo kufuga ng’ombe na mbuzi, huku nikibaki na kilimo cha viazi ambacho kimekuwa na faida kwangu.

Kwa wasiojua, nimewekeza sana kwenye kilimo cha parachichi. Shamba langu lipo vizuri, nimetumia mbolea za asili na chumvi, nimefanya installation ya mfumo wa umwagiliaji, na kutumia madawa kama boron na copper, pamoja na booster zinazotumika hata na wakulima wa Afrika Kusini. Pamoja na juhudi hizo zote, bado sijapata mafanikio niliyotarajia.

Nimeangalia pia maisha ya wakulima wenzangu—labda wao wananufaika, lakini kwangu hali ni tofauti. Naamini tatizo kubwa lipo kwenye soko la parachichi nchini Tanzania. Serikali imeweka tozo nyingi ambazo zinadhoofisha biashara hii, na wanaofaidika zaidi ni madalali kutoka Kenya.
Kuna shida gani ukifuga hao ng'ombe chini ya kivuli cha parachichi huku ukiendelea kuvuna parachichi kwa kutumia organic manure kutoka kwa mbuzi na ng'ombe? Sijui kwanini watu wa hivyo ndio mnapewa hela 🤣🤣🫡
 
Katika hiyo bei ya parachichi moja kuuzwa shilingi 2000, unajua mkulima anapata shilingi ngapi?
Kwa haraka haraka unaweza kukuta mkulima anavuna chini ya shilingi 500.
Hii inakupa picha gani?
Mkulima anatumika kuwatajirisha watu wengine (middle men) huku mteja akiendelea kufirisiwa na hao watu wengine.

Siku mkulima akiweza kukutanishwa na mteja moja kwa moja, mteja ataweza kulinunua (kwa furaha na amani) parachichi hilo hilo kwa shilingi 1000 na mkulima atafurahi mnoo kuuza kwa hiyo bei ya 1000.
Kabisa mkuu.
 
Nimekuwa mkulima wa parachichi kwa miaka mingi, lakini sijawahi kuona pesa inayosemekana ipo kwenye zao hili. Kila mwaka nakutana na sababu zile zile za changamoto za soko.

Baada ya kutafakari kwa muda mrefu, nimeamua rasmi kufyeka parachichi na kubadilisha mwelekeo wa kilimo changu. Nitatumia ardhi hiyo kufuga ng’ombe na mbuzi, huku nikibaki na kilimo cha viazi ambacho kimekuwa na faida kwangu.

Kwa wasiojua, nimewekeza sana kwenye kilimo cha parachichi. Shamba langu lipo vizuri, nimetumia mbolea za asili na chumvi, nimefanya installation ya mfumo wa umwagiliaji, na kutumia madawa kama boron na copper, pamoja na booster zinazotumika hata na wakulima wa Afrika Kusini. Pamoja na juhudi hizo zote, bado sijapata mafanikio niliyotarajia.

Nimeangalia pia maisha ya wakulima wenzangu—labda wao wananufaika, lakini kwangu hali ni tofauti. Naamini tatizo kubwa lipo kwenye soko la parachichi nchini Tanzania. Serikali imeweka tozo nyingi ambazo zinadhoofisha biashara hii, na wanaofaidika zaidi ni madalali kutoka Kenya.
Pole mkuu, (Kamwene) jamaa wanaacha mbao shambani hamna anayebeba Fanya tafakuri upya rutuba inatosha hapo ila sharti uelewe namna ya kulima hapo.
 
Kilimo cha maparachichi ni kama kilimo cha lubricant oil technolojia inabadilika mdau husisau ila nimecheka sana kwan nani alikushaur ?
 
Mkipata kiwanda cha kuchakata parachichi hata ambazo hazikidhi standard za kimataifa mtanufaika saaana
 
Nimekuwa mkulima wa parachichi kwa miaka mingi, lakini sijawahi kuona pesa inayosemekana ipo kwenye zao hili. Kila mwaka nakutana na sababu zile zile za changamoto za soko.

Baada ya kutafakari kwa muda mrefu, nimeamua rasmi kufyeka parachichi na kubadilisha mwelekeo wa kilimo changu. Nitatumia ardhi hiyo kufuga ng’ombe na mbuzi, huku nikibaki na kilimo cha viazi ambacho kimekuwa na faida kwangu.

Kwa wasiojua, nimewekeza sana kwenye kilimo cha parachichi. Shamba langu lipo vizuri, nimetumia mbolea za asili na chumvi, nimefanya installation ya mfumo wa umwagiliaji, na kutumia madawa kama boron na copper, pamoja na booster zinazotumika hata na wakulima wa Afrika Kusini. Pamoja na juhudi hizo zote, bado sijapata mafanikio niliyotarajia.

Nimeangalia pia maisha ya wakulima wenzangu—labda wao wananufaika, lakini kwangu hali ni tofauti. Naamini tatizo kubwa lipo kwenye soko la parachichi nchini Tanzania. Serikali imeweka tozo nyingi ambazo zinadhoofisha biashara hii, na wanaofaidika zaidi ni madalali kutoka Kenya.
Safi sana kwa kufanya maamuzi.

Watanganyika mnaendelea kuwa masikini mkitukanwa na watawala na familia zaio tokea kupata uhuru.
 
Nasita kukuamini katika hili kwa sababu zifuatazo:

1. Hujaelezea hali halisi ya kilimo chako ikiwemo management hadi sokoni, hii inatia shaka kwamba huna taarifa hizo

2. Hujaelezea changamoto za awali ulipo anza, ulipo zoea na mwishoni unapo ghairi kuendelea

3. Hujaelezea mikakati uliyochukua kutatua changamoto husika na zikashindikanika kutatua...mfano hapo nimeona umesema tozo za serikali na madalali wa kenya, je tozo ni kiasi gani kwa kilo ww unavuna kilo ngapi na usione faida. Je dalali Mkenya anakuaje dalali njombe umejaribu kulifikia soko direct ili mzigo wako usioite kwa dalali ikashindikana?

4. Parachichi huku mtaani ni moja ya tunda bei iko juu sana na kwa sasa ni machache, parachichi doogo ni 300, kisha 500, 700 hadi 1000 kwa eneo nilioo sio mjini ni mbali nje na mji wa halmashauri.

Kwa sababu hizo hapo juu nachelea kusema thread yako haina ukweli na kama ina ukweli basi ww huna usimamizi wa karibu na project zako, unatumia sana simu kupata taarifa na kutoa maelekezo kwa vijana au wasimamizi na kuishia kuona hasara kila mara.

"THE BEST INVESTMENT katika biashara au project yako ni KITI chako cha kukali"

Best investmnt in your business is your chair (uwepo wako kila mara).

Alamsiki Amigo...

Kiongozi
Msichanganye mada
1. Mwanyaluke alilenga soko la nje akimaanisha avune hekari pengine 50 ndani ya wiki moja maisha yaendelee;
Sasa mkianza kusema aje na parachichi, Kiriku moja kila mji.....atakuwa anafanya kazi za watu wengine

2. Bidhaa za kilimo kwa wakulima wakubwa wanahitaji wauze kwa wingi wapate fedha wafanye mambo mengine na sio kuchuuza; walio soma biashara wanajua Production & Distribution Channel
Sio kawaida ulime hekari 100 halafu uanze kuchuuza....

3. Mtoa mada alitegemea kuwepo na makampuni makubwa yatakayonunua kila kinacho zalishwa na ndio sababu anasema alitapeliwa kwa ku ahidiwa soko (wanunuzi wakubwa) kaishia kukutana na madalali/Wachuuzi...
 
Hakuna sehemu nimesema auze kwa kuchuuza mkuu, ila nilionesha uhaba na bei ya kile anachosema hakimlipi katika soko la ground
 
Ukitaka kuwa maskini nchi hii kuwa mkulima.
 
pole sana mkuu mafanikio sio rahisi kwenye sehemu zote jipange upya na utambue wapi ulikosea ili urekebishe sikushauri uache hiyo kazi bali utambue mapungufu na ujipange upya jifunze kupitia makosa ufanikiwe ukiingia kwenye issue nyengine kwa sasa ni sawa na kuanza moja tu,
Kasema shida ni tozo za serikali sasa hapo anaweza kujipanga vipi? Akamtoe mwigulu wizarani? Ushauri inabidi uwe na tija na unajibu changamoto ya muhusika na uwe feasible kbla hatujasema jamani
 
Back
Top Bottom