Aliyeokoa watu ajali ya ndege Precision Air alivunja mlango wa dharura

Aliyeokoa watu ajali ya ndege Precision Air alivunja mlango wa dharura

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
590
Reaction score
1,648

Mvuvi mmoja aliyetambulika kwa jina la Majaliwa, aelezea jinsi alivyovunja mlango wa dharura dakika chache baada ya ndege kuanguka Ziwa Victoria na akafanikiwa kuwaokoa mama mjamzito, mtoto na mchina.

Hata hivyo wakati akiendelea na harakati za uokoaji aliumia na kupoteza fahamu dakika chache baadaye na kujikuta yupo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera.

Habari Leo
 
Sima mengi namtaka Waziri mkuu Kassimu Majaliwa Leo akiwa hapo kagera kuwaaga wenzetu walio tangulia mbele za haki tafadhali aanze na SHUJAA Majaliwa kwa kumpa NISHANI ya ushujaa ndugu yetu Majaliwa aliye okoa abilia wa ndege Kwa kuvunja mlango wa dharura.
 
sio muda wake.. muda wa kuomboleza atoe nishani??
 
Nchi hii watu aina ya mandonga &co Ltd ndy wanaonekana mashuja watu wa maana

Ova
 
Back
Top Bottom