Sima mengi namtaka Waziri mkuu Kassimu Majaliwa Leo akiwa hapo kagera kuwaaga wenzetu walio tangulia mbele za haki tafadhali aanze na SHUJAA Majaliwa kwa kumpa NISHANI ya ushujaa ndugu yetu Majaliwa aliye okoa abilia wa ndege Kwa kuvunja mlango wa dharura.