Aliyeona bus la Madrid pale airport arushe picha hapa

Afu wame kodi Uganda, lina plate no ya huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utopolo kombe la SIDO bus walilotambia SIDO pia.
Kwani Historua inazungumzia aina au quality ya kombe au Ubingwa? Mfano World Cup hata kama lingetengenezwa kwa udongo pale chenye nguvu ni ile kuwa champion, Tuache Uswahili mwingi sana yaani kila siku zinavyo songa mbele ndo kadri tunakuwa na kiwango cha juu cha uswahili
 
Ilikua Yanga wanakata moto round ya pili sasa hivi kombe baya , bus baya irimradi visa kama mama mjamzito
 
Mi nmeukubali wimbo wa Sir Jay tu asee jamaa Yuko vizuri kawatendea haki uto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…