Aliyeona bus la Madrid pale airport arushe picha hapa

Aliyeona bus la Madrid pale airport arushe picha hapa

Utopolo waliamini wataanzia hatua ya kwanza walipoambiwa na domo kaya.wao ni wakudanganywa tu.
ai ndo ilo [emoji116]limepata ajali njiani?
FA_lTDhVgAQZiJA.jpg
 
Afu wame kodi Uganda, lina plate no ya huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utopolo kombe la SIDO bus walilotambia SIDO pia.
Kwani Historua inazungumzia aina au quality ya kombe au Ubingwa? Mfano World Cup hata kama lingetengenezwa kwa udongo pale chenye nguvu ni ile kuwa champion, Tuache Uswahili mwingi sana yaani kila siku zinavyo songa mbele ndo kadri tunakuwa na kiwango cha juu cha uswahili
 
Ilikua Yanga wanakata moto round ya pili sasa hivi kombe baya , bus baya irimradi visa kama mama mjamzito
 
Mi nmeukubali wimbo wa Sir Jay tu asee jamaa Yuko vizuri kawatendea haki uto
 
Back
Top Bottom