Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Wananchiiii tumetulia, hawa wanaoteseka ni kina nani kwani 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msemaji wenu ndo alisema anawaletea basi la ubingwa kama la Madrid,si angesema tu basi lipo sido litakarabatiwa!Unaujua Uchumi wa Hispania au thamani ya club ya Real Mdrid? Uwe unashirikisha Ubongo basi kabla ya kuchangia chochote kile,
[emoji23][emoji23]Jamaa washamba sijawai kuona.Afu wame kodi Uganda, lina plate no ya huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakasirika ukiwa wapi na gari lenu la promotion za sabuni za MO.