TAARIFA NJEMA SANA HIIMahakama ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe tarehe 16 Februari 2024 imemhukumu mshtakiwa GIVEN MICHAEL NZUNDA (24) Mkulima, mkazi wa Shilanga kutumikia Kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la Kubaka.
Mtuhumiwa alikamatwa Disemba 15, 2023 maeneo ya Shilanga, Kata ya Ihanda Tarafa ya Vwawa ambapo alituhumiwa kuozeshwa mtoto mwenye umri wa miaka 14 na kuishi nae kama mke na mume jambo ambalo ni kosa kisheria.
Ulikuwa hujui kuoa mtoto ni kosa kisheria? Wewe unachukuliaje mtoto wa miaka 14 kuolewa?Huu nao ni upuuzi mwingiine wa police na mahakama, zetu.
Unamfunga mwanaume aliyeoa binti wa miaka 14,
Lakini wazazi wa binti na shehe aliyeozesha hiyo ndoa wapo uraiani.
Miaka 30 ujue!Hebu jumlisha upya.TAARIFA NJEMA SANA HII
KIJANA KARIBU URAIANI 2039
Vipi na wazazi waliokubali binti yao aolewe nao wapewe adhabu gani?Naipongeza mahakama kumfunga huyo kijana miaka 30 ili iwe fundisho kwa wengine.
NomaNaipongeza mahakama kumfunga huyo kijana miaka 30 ili iwe fundisho kwa wengine.
Ndio, wanahesabu usiku na mchan kuwa ni siku mbili24+30=54 au jela huwa wanahesabu usiku na mchan kuwa ni siku mbili?
Wanaweza kuwa na kosa,Vipi na wazazi waliokubali binti yao aolewe nao wapewe adhabu gani?
Kaiulize mahakama.Vipi na wazazi waliokubali binti yao aolewe nao wapewe adhabu gani?
'Shehe'????Huu nao ni upuuzi mwingiine wa police na mahakama, zetu.
Unamfunga mwanaume aliyeoa binti wa miaka 14,
Lakini wazazi wa binti na shehe aliyeozesha hiyo ndoa wapo uraiani.