Aliyepandikizwa kibanzi cha kusoma akili kwenye ubongo amshukuru Ellon Musk

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Katika miaka ya karibuni watu wamekuwa wakiogopa kuwekewa kifaa maalum kwenye ubongo kwa siri wakihofu kutumika kama mazombi kufanya kazi za mabeberu.Kumbe hiyo teknolojia si rahisi kihivyo.
Norland Arbaugh ni miongoni mwa watu wa mwanzo kukubali kufanyiwa majaribio hayo kufuatia kupooza mwili kwa miaka kadhaa baada ya kupata ajali.
Mwaka 2024 Norland aliwekewa kifaa hicho ndani ya ubongo kutoka kampuni ya Ellon Musk iitwayo Neuralink.Mpaka sasa anasema amefanikiwa kuweza kupapasa uma wakati akifikiri kula na vile vile kumudu kuendesha mausi ya kompyuter.
Tatizo ambalo Norland ameona na halimpendezi ni kwamba hakuna siri pale unapofikiria baadhi ya vitu vya kibinafsi na ambayo mtu asingependa kuwashirikisha watu wengine hata wa karibu yake.

The man with a mind-reading chip in his brain - thanks to Elon Musk​

1742794410591.png
 
Katika miaka ya karibuni watu wamekuwa wakiogopa kuwekewa kifaa maalum kwenye ubongo kwa siri wakihofu kutumika kama mazombi kufanya kazi za mabeberu.Kumbe hiyo teknolojia si rahisi kihivyo.
Norland Arbaugh ni miongoni mwa watu wa mwanzo kukubali kufanyiwa majaribio hayo kufuatia kupooza mwili kwa miaka kadhaa baada ya kupata ajali.
Mwaka 2024 Norland aliwekewa kifaa hicho ndani ya ubongo kutoka kampuni ya Ellon Musk iitwayo Neuralink.Mpaka sasa anasema amefanikiwa kuweza kupapasa uma wakati akifikiri kula na vile vile kumudu kuendesha mausi ya kompyuter.
Tatizo ambalo Norland ameona na halimpendezi ni kwamba hakuna siri pale unapofikiria baadha ya vitu vya kibinafsi na ambayo mtu asingependa kuwashirikisha watu wengine wa karibu yake.

The man with a mind-reading chip in his brain - thanks to Elon Musk​

Naona hapa kama umetumia google translator,kuna baadhi ya maelezo hayako vizuri,au wewe mwenyewe mleta mada haujatulia wakati wa kuweka uzi wako...
 
Mfano uko wapi ?
 
Nilimsikia Elon alisema hizi wireless earphone zinauwezo wakusoma mawimbi Toka kwenye ubongo nakuweza kujua mtu anawaza nini zaidi mf. Ukiwa unalengo lakununua kitu kama nguo basi kwenye simu Yako wanakuletea matangazo ya bidha husika na suggestions za wapi ukanunue. Hivyo hawasubiri mpaka wakuwekee chip
 
Kama huna pesa umewaza tu haitawasaidia kitu.
Badala yake itakuwa wamekaribisha wezi kwenye maeneo yao.
 
Back
Top Bottom