Aliyependekeza physical geography na mada ya physics ya light zipelekwe form 2 kwenye mtaala mpya, Mungu amshughulikie sana

downloadfile-136.jpg
 
Wapuuzi sana
Ile light sio ya kitoto halafu anapewa mtoto ambae akili yake haijakomaa
Hata ile current
Mtu akishafika sekondari huwezi kusema akili yake haijakomaa. Tatizo ni elimu yetu ya msingi ndio mbovu Sana inamfanya mtu aingie sekondari Yuko shallow. Ukiongeza na mabadiliko ya lugha ndio wengi wanapotea. Jaribu kuangalia syllabus ya primary ya Kenya uone ilivyo nondo.
 
Ni bora Physical geography ianzie form two kwa topic kama rocks, earthquakes, land formation na sio kusoma ule utumbo wa kilimo cha mahindi Marekani
(iondolewe hii)
 
Tatizo sio p
Na waliounga mkono kupita kwa wazo hilo wawe Kuni.

Si kwa tabu hii, dah!! Najiuliza mara elfu elfu walichowaza.

Nafikiri tatizo sio Physics; tatizo ni wanafunzi wanakuja sekondari huku wengi wao hawana msingi wowote wa hesabu hiyo Physics wataisomaje? Mtoto anakuja sekondary hata swali la hasi na chanya hawezi, Decimal, % nk sasa mwalimu wa sekondari utafundisha nini hapo kwenye Hesabu na Physics kieleweke?
Nafikiri tunahitaji mapinduzi ya Hesabu kuanzia shule za Msingi.....
 
Wapuuzi sana
Ile light sio ya kitoto halafu anapewa mtoto ambae akili yake haijakomaa
Hata ile current
Yan! Inasikitisha sana. Wao hawakuisoma katika level hiyo ila sasa wanathubutu kuipendekeza kwa rika hilo. Huo ni unyanyasaji wa Kielimu. Tafakari.
 
Tatizo sio p

Nafikiri tatizo sio Physics; tatizo ni wanafunzi wanakuja sekondari huku wengi wao hawana msingi wowote wa hesabu hiyo Physics wataisomaje? Mtoto anakuja sekondary hata swali la hasi na chanya hawezi, Decimal, % nk sasa mwalimu wa sekondari utafundisha nini hapo kwenye Hesabu na Physics kieleweke?
Kwa kweli hapo Mwanafunzi anaonewa.
 
Mtu akishafika sekondari huwezi kusema akili yake haijakomaa. Tatizo ni elimu yetu ya msingi ndio mbovu Sana inamfanya mtu aingie sekondari Yuko shallow. Ukiongeza na mabadiliko ya lugha ndio wengi wanapotea. Jaribu kuangalia syllabus ya primary ya Kenya uone ilivyo nondo.
Halafu tena eti watasoma p/s mwisho darasa la 6.
 
Back
Top Bottom