ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Mar 9, 2025 #1 Huyu mtumishi namkubali anakula mshahara wa halali Ametukumbusha kuhusu matepeli Kwa siku tutapokea SMS hazipungui 10 za SITAPELIKI Sasa😅 imetosha kaka, ujumbe umeeleweka Na hakika SITAPELIKi tena
Huyu mtumishi namkubali anakula mshahara wa halali Ametukumbusha kuhusu matepeli Kwa siku tutapokea SMS hazipungui 10 za SITAPELIKI Sasa😅 imetosha kaka, ujumbe umeeleweka Na hakika SITAPELIKi tena
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 9,758 Reaction score 18,431 Mar 9, 2025 #2 Hahaha, Tumemtuma kazi na kazi tumeiona
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Mar 9, 2025 #3 Kuna mawili analipwa vizuri au ana mahusiano mapya kila muda anapongezwa na kazi njema anayofanya na mpenzi wake.
Kuna mawili analipwa vizuri au ana mahusiano mapya kila muda anapongezwa na kazi njema anayofanya na mpenzi wake.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Mar 9, 2025 Thread starter #4 Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Kuna mawili analipwa vizuri au ana mahusiano mapya kila muda anapongezwa na kazi njema anayofanya na mpenzi wake. Click to expand... 🤣😅🤣Kwamba shemeji akimsifia anasema na hapo bado ngoja nitumie SMS zingine
Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Kuna mawili analipwa vizuri au ana mahusiano mapya kila muda anapongezwa na kazi njema anayofanya na mpenzi wake. Click to expand... 🤣😅🤣Kwamba shemeji akimsifia anasema na hapo bado ngoja nitumie SMS zingine
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Mar 9, 2025 Thread starter #5 Mgeni wa Jiji said: Hahaha, Tumemtuma kazi na kazi tumeiona Click to expand... Kazi ya mwamba imetukuka
Mgeni wa Jiji said: Hahaha, Tumemtuma kazi na kazi tumeiona Click to expand... Kazi ya mwamba imetukuka
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Mar 9, 2025 #6 Hizi sms watumiwe wale wanaokwenda kwa manabii
Doji MD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 1,770 Reaction score 3,552 Mar 9, 2025 #7 Ujumbe unahusu, huwa naona Hilo neno tu
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Mar 9, 2025 Thread starter #8 Mbaga Jr said: Hizi sms watumiwe wale wanaokwenda kwa manabii Click to expand... Hamtaki kutoa sadaka za kujimaliza, kununua maji, mafuta, mchanga na kokoto za upako Au hamtaki keki ya bwana
Mbaga Jr said: Hizi sms watumiwe wale wanaokwenda kwa manabii Click to expand... Hamtaki kutoa sadaka za kujimaliza, kununua maji, mafuta, mchanga na kokoto za upako Au hamtaki keki ya bwana
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Mar 9, 2025 Thread starter #9 Doji MD said: Ujumbe unahusu, huwa naona Hilo neno tu Click to expand... Jitahidi sana kuusoma
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 12,444 Reaction score 18,741 Mar 9, 2025 #10 kwakweli yuko serious na kazi
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 1,198 Reaction score 2,695 Mar 9, 2025 #11 Kinachoniudhi unaweza kupiga simu huduma kwa wateja anapokea dada sauti tamu ukirudia kupiga inapokea njemba inaniumiza Sana hii😎
Kinachoniudhi unaweza kupiga simu huduma kwa wateja anapokea dada sauti tamu ukirudia kupiga inapokea njemba inaniumiza Sana hii😎
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Mar 9, 2025 #12 ngara23 said: 🤣😅🤣Kwamba shemeji akimsifia anasema na hapo bado ngoja nitumie SMS zingine Click to expand... Ndo uhalisia mkuu
ngara23 said: 🤣😅🤣Kwamba shemeji akimsifia anasema na hapo bado ngoja nitumie SMS zingine Click to expand... Ndo uhalisia mkuu
H Harmful Senior Member Joined Feb 23, 2025 Posts 163 Reaction score 619 Mar 9, 2025 #13 Anapambana apate fursa ya kutuma meseji za uchaguzi ikifika oktoba
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Mar 9, 2025 Thread starter #14 Khanji kapoor said: Kinachoniudhi unaweza kupiga simu huduma kwa wateja anapokea dada sauti tamu ukirudia kupiga inapokea njemba inaniumiza Sana hii😎 Click to expand... Uwe unamwambia nataka kuongea na aliyekuwepo awali
Khanji kapoor said: Kinachoniudhi unaweza kupiga simu huduma kwa wateja anapokea dada sauti tamu ukirudia kupiga inapokea njemba inaniumiza Sana hii😎 Click to expand... Uwe unamwambia nataka kuongea na aliyekuwepo awali
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Mar 9, 2025 Thread starter #15 Harmful said: Anapambana apate fursa ya kutuma meseji za uchaguzi ikifika oktoba Click to expand... Aaah labda kweli
Harmful said: Anapambana apate fursa ya kutuma meseji za uchaguzi ikifika oktoba Click to expand... Aaah labda kweli
Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 Mar 9, 2025 #16 Khanji kapoor said: Kinachoniudhi unaweza kupiga simu huduma kwa wateja anapokea dada sauti tamu ukirudia kupiga inapokea njemba inaniumiza Sana hii😎 Click to expand... Tatizo lako huombi namba
Khanji kapoor said: Kinachoniudhi unaweza kupiga simu huduma kwa wateja anapokea dada sauti tamu ukirudia kupiga inapokea njemba inaniumiza Sana hii😎 Click to expand... Tatizo lako huombi namba
M Msumari Wa Shaba JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 344 Reaction score 464 Mar 9, 2025 #17 Yupo kasi sana
King 999 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2019 Posts 5,872 Reaction score 8,374 Mar 9, 2025 #18 hzo sms ziko scheduled, yaan ikifika mda fulani zinajituma zenyewe ndo mana mara nyng ikifika saa 6 mchana ndo zinaanza kumiminika
hzo sms ziko scheduled, yaan ikifika mda fulani zinajituma zenyewe ndo mana mara nyng ikifika saa 6 mchana ndo zinaanza kumiminika
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Mar 9, 2025 Thread starter #19 King 999 said: hzo sms ziko scheduled, yaan ikifika mda fulani zinajituma zenyewe ndo mana mara nyng ikifika saa 6 mchana ndo zinaanza kumiminika Click to expand... Asante Kwa elimu mkúu
King 999 said: hzo sms ziko scheduled, yaan ikifika mda fulani zinajituma zenyewe ndo mana mara nyng ikifika saa 6 mchana ndo zinaanza kumiminika Click to expand... Asante Kwa elimu mkúu
mandieta19 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 212 Reaction score 549 Mar 9, 2025 #20 Huyo jamaa amekuwa tatizo.. mnaweza kuwa mpo kijiwen watu km 5 halafu sms zinaingia kila anaifungua anasonya tu, SITAPELIKI
Huyo jamaa amekuwa tatizo.. mnaweza kuwa mpo kijiwen watu km 5 halafu sms zinaingia kila anaifungua anasonya tu, SITAPELIKI