Binafsi nina roho ya Musa, nachukia uonevu hata kama huo uonevu sijafanyiwa Mimi.
Yule mtu ana mapungufu ya akili , maana mtu mwenye akili timamu asingeweza kuvamia msafara ambao uko na limited time.
Yule mlinzi analipwa na fedha za umma kulinda Watanzania kwa njia moja ama nyingine.
Yaani mpaka aliyemfurumishia gumi la kanzola alipaswa kumlinda.
Alipaswa amsukume kisha mambo mengine yangeendelea kama kawaida.
Sasa innocent citizen anafanyiwa vile. Too sad.
Mimi najua maana ya ulinzi.
Najua hatua za kuchukua kulingana na mazingira, kwa mazingira yale hakupaswa kumsweka Mtanzania mwenzake ngumi ile.
Alilolifanya yule kijana leo ni sawa na walichofanya polisi wa Mtwara huko majuzi, kibaka alikuwa anawatoroka wakataka kumuua kwa risasi, bahati nzuri risasi ilamuua mkuu wa kituo bwana Inspekta. Nasema bahati nzuri kwasababu walitaka kutenda jambo la kijinga. Unamuuaje kibaka wa debe la mahindi au kuku?
Shobo tu kwani kulikua na ulazima wa kwenda huko?
Mtu maisha magumu hata kula hujala unakimbizana kwenye mambo yasiyokuhusu.
Watanzania tupunguze shobo ππ
Wapigwe tu
Shobo tu kwani kulikua na ulazima wa kwenda huko?
Mtu maisha magumu hata kula hujala unakimbizana kwenye mambo yasiyokuhusu.
Watanzania tupunguze shobo ππ
Wapigwe tu
Shobo tu kwani kulikua na ulazima wa kwenda huko?
Mtu maisha magumu hata kula hujala unakimbizana kwenye mambo yasiyokuhusu.
Watanzania tupunguze shobo ππ
Wapigwe tu
Binafsi nina roho ya Musa, nachukia uonevu hata kama huo uonevu sijafanyiwa Mimi.
Yule mtu ana mapungufu ya akili , maana mtu mwenye akili timamu asingeweza kuvamia msafara ambao uko na limited time.
Yule mlinzi analipwa na fedha za umma kulinda Watanzania kwa njia moja ama nyingine.
Yaani mpaka aliyemfurumishia gumi la kanzola alipaswa kumlinda.
Alipaswa amsukume kisha mambo mengine yangeendelea kama kawaida.
Sasa innocent citizen anafanyiwa vile. Too sad.
Mimi najua maana ya ulinzi.
Najua hatua za kuchukua kulingana na mazingira, kwa mazingira yale hakupaswa kumsweka Mtanzania mwenzake ngumi ile.
Alilolifanya yule kijana leo ni sawa na walichofanya polisi wa Mtwara huko majuzi, kibaka alikuwa anawatoroka wakataka kumuua kwa risasi, bahati nzuri risasi ilamuua mkuu wa kituo bwana Inspekta. Nasema bahati nzuri kwasababu walitaka kutenda jambo la kijinga. Unamuuaje kibaka wa debe la mahindi au kuku? View attachment 2905101