DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Dada mange huyu mwenzetu alipigwa risasi kifuani alafu wakamgonga na gari ili kupoteza ushahid, hii ni Tarime, hii siku wamemleta marehemu vijana walikua na uchungu atari. Tulikuwa tunalia huku tunaimba. Tuko tayari kupambana na serikali kwa hali yoyote mpaka tupate haki kwenye nchi yetu, ni bora tufe tukipambania haki kuliko kukubali kuishi utumwani ndani ya nchi yetu. Moto tulionao kwa ajili ya December 9 ni mara elf ya Oktoba 29.