Holiday Inn ya mji na nchi gani?
Hapa nilipo ni jirani sana na hiyo hotel;
niko mkabala na holiday inn
kanisani apa
Unakuja hauji?
we kazana tu kusali hapo...wacha siye tutafune minofu...
Una maana uko Ulanga au Malinyi?
Niko nchi ya wagagagigigogo
Niko nchi ya wagagagigigogo
Hahaha kikifika kipengele cha 'tuwaombee waliopo mahotelini wakijichana minofu' unikumbukage rafikihaya
wacha nimkumbuke muumba siku za ujana wangu