Aliyepo near holiday inn ntawapa offer ya lunch

nimekukumbuka katika maombi
japo inauma kuombea aloshiba uku tumbo langu halijaona kitu yani
Hahaha kikifika kipengele cha 'tuwaombee waliopo mahotelini wakijichana minofu' unikumbukage rafiki
 
nimekukumbuka katika maombi
japo inauma kuombea aloshiba uku tumbo langu halijaona kitu yani

teh teh...usijali kama vipi kesho tena simama hapo hapo geti dogo karibia na huo mchongoma...tutaenda wote...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…