gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Rahisi sana hilo,ila ukiwa bwege utawaka mwenyeweAtufundishe hatua za kutengeneza bomu hilo
Hizo duru ziko confirmed na trusted sources? Maana FBI wenyewe bado hawajatoa jibu ,wako under uchunguzi na colorado PD bado pia?Juzi huko marekanililitokea tukio la mtu kuwarushia bomu la petroli waandamanaji waliopinga vita Gaza na kutaka vita vikome
Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mohammed alitajwa kama muhusika
Lakini duru zinaarifu kwamba bwana huyo si mwarabu wa misri bali jasusi wa israel
Hata kule libya,alikamatwa bwana efrain Benjamin akiwa kama mkuu wa isis,lakini Benjamin alikua jasusi wa mossad aliyepandikizwa muda mrefu kiasi cha kuwa imam misikitu mbalimali
Pamekua na hofu israel ya kupoteza uungwaji mkono duniani kupitia karata ya 'anti semitic',hivyo kuanzisha kampeni ya kutafuta huruma.Hata tukio la kupigwa risasi wafanyakazi wawili wa ubalozi huko marekani inatajwa kuwa ni kazi ya ndani
Ukimtazama huyo jamaa aloshika chupa,unaona kuna mwarabu humo!?..Hizo duru ziko confirmed na trusted sources? Maana FBI wenyewe bado hawajatoa jibu ,wako under uchunguzi na colorado PD bado pia?
Hizo duru ziko confirmed na trusted sources? Maana FBI wenyewe bado hawajatoa jibu ,wako under uchunguzi na colorado PD bado pia?
Wafuasi wa Gwajima Washavurugwa!!!!Rahisi sana hilo,ila ukiwa bwege utawaka mwenyewe
We utakuwa mfuasi wa Gwajima!!!!!Atufundishe hatua za kutengeneza bomu hilo
Wataumia, waislam washapitia hayo tisini mwishoni mpaka elfu mbili mwanzoni,sasa hivi wametuliaWafuasi wa Gwajima Washavurugwa!!!!
ECHOLIMAI apa uwezi kumuona mfanya Propaganda mkuu wa Mossad!!! Idhaa ya Kiswahili !!!Juzi huko marekanililitokea tukio la mtu kuwarushia bomu la petroli waandamanaji waliopinga vita Gaza na kutaka vita vikome
Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mohammed alitajwa kama muhusika
Lakini duru zinaarifu kwamba bwana huyo si mwarabu wa misri bali jasusi wa israel
Hata kule libya,alikamatwa bwana efrain Benjamin akiwa kama mkuu wa isis,lakini Benjamin alikua jasusi wa mossad aliyepandikizwa muda mrefu kiasi cha kuwa imam misikitu mbalimali
Pamekua na hofu israel ya kupoteza uungwaji mkono duniani kupitia karata ya 'anti semitic',hivyo kuanzisha kampeni ya kutafuta huruma.Hata tukio la kupigwa risasi wafanyakazi wawili wa ubalozi huko marekani inatajwa kuwa ni kazi ya ndani.
View attachment 3354595
View attachment 3354596
Idhaa ya kiyahudi toka kyelaECHOLIMAI apa uwezi kumuona mfanya Propaganda mkuu wa Mossad!!! Idhaa ya Kiswahili !!!
Nakumbuka mji ulikuwa w MOTO Kariakoo akwendeki kabisa!!Wataumia, waislam washapitia hayo tisini mwishoni mpaka elfu mbili mwanzoni,sasa hivi wametulia
Anasema anaishi Israel, itakuwa ni wale wayahudi wa Ethiopia...Jamaa analaani sana kuwa mnyakyusa,anatamani angekua muisrael
Lol hiyo news source ndio confrmation? I thought vyombo husika ndio vime confirm?
Eti nayeye anadai yupo Jerusalem haaaaaaa kumbe yupo kwenye Mashamba ya Mipunga Kyela !!!!Idhaa ya kiyahudi toka kyela
Eeh,na polisi wanakiri maandamano ya waislam ndiyo nuksiNakumbuka mji ulikuwa w MOTO Kariakoo akwendeki kabisa!!
Yaani mossad wakiri hadharani al sharaa ni mtu wao!!?.. unasubiri meli dodoma broLol hiyo news source ndio confrmation? I thought vyombo husika ndio vime confirm?