Aliyerusha bomu la petroli(molotov cocktail) Marekani ni jasusi wa Mossad, si mwarabu

Aliyerusha bomu la petroli(molotov cocktail) Marekani ni jasusi wa Mossad, si mwarabu

Echolima1 njoo uone hapa askari wa Israel anamwambia mchungaji ambae ni mtalii kutoka ujermani ya kwamba afunike kwanza msalaba aliouvaa kama rozari ama mkufu na kisha ndio aendelee na utalii...

View: https://www.youtube.com/shorts/YYTv45XRWJA

Tunapowaambia uwe unasikia, huyo ni state police anafanya hivyo...

Punguza kujipendekeza kwa myahudi anakuona kama nyani..

Huyo si Polisi hawa ndiyo Polisi huyo ambaye anajificha na kuogopa kamera huyo ni Mpiga Propaganda tu!!

View: https://x.com/vividprowess/status/1930002802065191268?s=61
 
Wataumia, waislam washapitia hayo tisini mwishoni mpaka elfu mbili mwanzoni,sasa hivi wametulia
Kweli kabisa!
Majuzi nilikoment kwenye uzi fulani ya kwamba siku hizi hakuna misikiti inayofundisha kareti!
Waislamu miaka hiyo kuna mihemuko na jazba zilikuwa zimetuingia tukadhani kwamba tunao uwezo wa kushindana na mfumo unaoongoza nchi hii mfumo uliorithiwa toka kwa mwalimu nyerere.!
Ni hadi wakati wa serikali ya awamu ya nne ndipo wanaharakati wa kiislamu walikata tamaa na kuona kuwa kuendelea kushindana na serikali ni kuwaongezea waislamu matatizo badala ya kuyapunguza!.
Pamoja na hayo kuna waislamu wachache sana ambao kwa kutafuta maslahi fulani bado wanajihusisha na misimamo hiyo ya kizamami kama issa ponda lakini siku zao zinahesabika!.
 
Juzi huko marekanililitokea tukio la mtu kuwarushia bomu la petroli waandamanaji waliopinga vita Gaza na kutaka vita vikome
Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mohammed alitajwa kama muhusika

Lakini duru zinaarifu kwamba bwana huyo si mwarabu wa misri bali jasusi wa israel

Hata kule libya,alikamatwa bwana efrain Benjamin akiwa kama mkuu wa isis,lakini Benjamin alikua jasusi wa mossad aliyepandikizwa muda mrefu kiasi cha kuwa imam misikitu mbalimali

Pamekua na hofu israel ya kupoteza uungwaji mkono duniani kupitia karata ya 'anti semitic',hivyo kuanzisha kampeni ya kutafuta huruma.Hata tukio la kupigwa risasi wafanyakazi wawili wa ubalozi huko marekani inatajwa kuwa ni kazi ya ndani.

View attachment 3354595

View attachment 3354596

Trump kasema leo ana wadeport familianyake yote wako 5 kurudi kwao Misri na kuwa blacklist kutia mguu wao USA
 
Eeh,na polisi wanakiri maandamano ya waislam ndiyo nuksi
Siku hizi waislamu wanajielewa!
Hakuna mwislamu wa kumchukua kirahisirahisi eti twende tukaandamane akakusikiliza !
Mashekhe wengi wanaona kuwa mambo ya kisiasa tuwaachie wanasiasa sisi jukumu letu ni kuitii serikali iliyopo MADARAKANI muhimu hatujaamrishwa kufanya dhambi!.
Habari za watu kutekwa na kuuawa tunaviachia vyombo vilivyokabidhiwa mamlaka ya kupambana na uhalifu wa aina hiyo na si jukumu letu kuvishinikiza kufanya kazi zaidi ya uwezo wao au kinyume na misingi na taratibu za taaluma yao.
 
Juzi huko marekanililitokea tukio la mtu kuwarushia bomu la petroli waandamanaji waliopinga vita Gaza na kutaka vita vikome
Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mohammed alitajwa kama muhusika

Lakini duru zinaarifu kwamba bwana huyo si mwarabu wa misri bali jasusi wa israel

Hata kule libya,alikamatwa bwana efrain Benjamin akiwa kama mkuu wa isis,lakini Benjamin alikua jasusi wa mossad aliyepandikizwa muda mrefu kiasi cha kuwa imam misikitu mbalimali

Pamekua na hofu israel ya kupoteza uungwaji mkono duniani kupitia karata ya 'anti semitic',hivyo kuanzisha kampeni ya kutafuta huruma.Hata tukio la kupigwa risasi wafanyakazi wawili wa ubalozi huko marekani inatajwa kuwa ni kazi ya ndani.

View attachment 3354595
View attachment 3354596
Mara nyingi sana huwa najiuliza hivi mnapata wapi ujasiri wa kusema uongo huku mnajua kabisa kuwa mnadanganya?

Nawashangaa sana mna jitahidi sana kuwasafisha magaidi ya kiarabu kwa kutunga uongo wa mchana kweupe kuwa alikuwa ajent wakati ni ugaidi wake mwenyewe. Pamoja na kwamba mna jitahidi kuwasafisha magaidi wa kiarabu magaidi hao hawasafishiki walishajichafua kwa Matondo yao mabovu.

Nawashangaa wengine wasema eti huyo siyo mwarabu amebandikwa tu jina na wazungu ili aharibu sifa nzuri za waarabu!!!! Huo ni ujinga wa kiwango cha lami hebu lisikilize Gaidi hilo likijieleza kabla ya kufanya ugaidi huko Coronado,Marekani
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    8.2 MB

Hata netanyahu anajua kiarabu, Hamas wanajua kiebrania,na eli Cohen alihesabika mwarabu na waarabu
 
Back
Top Bottom