Aliyerusha bomu la petroli(molotov cocktail) Marekani ni jasusi wa Mossad, si mwarabu

Aliyerusha bomu la petroli(molotov cocktail) Marekani ni jasusi wa Mossad, si mwarabu

Naomba mjadala uishie hapa, sasa nimeelewa huna unachokifahamu na ni mweupe sana...
Sasa hapo ndio umeandka ujinga gani, kwamba kuna wayahudi wengine ni RC , 😂 😂 😂
Bora uishie hapa maana wewe unajua mtu akisema Wayahudi wewe unajua ni Dini Pole sana!!
 
Umejuaje huyo ni Polisi? Wengi wa Polisi au Jeshi huko hawajui Kiingereza maana lugha ya Taifa ni Hebrew!! Hizo video Fupi fupi ambazo hujui zinaanzia wapi na zinaishia wapi ni Propaganda tu. Bora tungeona mwishoni anavyokamatwa lakini hawawezi kuonyesha maana ni Propaganda,

Kwa kuwa wewe unaziamini tuonyeshe alipokamatwa kwa sababu ya msalaba!! Naamini huwezi kuwa nazo kwa sababu ni uongo wa kutengeneza/kupotosha.
Yaani husikii hata mazungumzo yao, huyo dada humsikii kabisa anachosema kwamba huyo mzee inabidi aheshimu uhuru wa kuabudu wa wayahudi, sheria na taratibu zao hivyo hapaswi kuingia hapo na msalaba, au kiingereza chenga?
 
Umejuaje huyo ni Polisi? Video hiyo ilianzaje na ikamalizika vipi? Acha propaganda!!!
Sasa nani ambae ana mamlaka ya kumzuia huyo mtalii asiingie hayo maeneo?

Hayo maeneo ni Israel , mambo mengine utajifanya kuruka ruka lakini habari ndio hio... na viswali uchwara visivyo na mbele wala nyuma lakini nyie mnabaguliwa kama Palestinians tu

Wayahudi hawawataki, msijipendekeze..

Kama wanawabagua hadi raia wa ujerumani kisa udini na hao watu wa EU ndio wanawapa misaada itakuwa wewe?
Usishangae nchi za EU hivi sasa kutokubali matendo ya Israel na kuwatetea Palestinians, wazungu wanawajua vyema hao watu walivyo, nimekuonyesha videos baadhi upate uelewa...

Ndio maana unasikia UK wanazozana na hao watu shukurani hawana...
 
Unalazimisha wee lakini ukweli huwezi kuubadirisha endelea kuamini hivyo. Sisi tupo tu hakuna shida!!
 
Kutwa kufungua nyuzi za wayahudi halafu mkienda huko mnatemewa mate na kubaguliwa..
Pole sana najua sana huwa unaumia sana na ndiyo maana Mimi kila siku lazima nifungue nyuzi hizo ili uendelee kuumia sana!!! Na Safari hii mpaka Unye!!!!!
 
Pole sana najua sana huwa unaumia sana na ndiyo maana Mimi kila siku lazima nifungue nyuzi hizo ili uendelee kuumia sana!!! Na Safari hii mpaka Unye!!!!!
Hio ya mwisho, hili tukio lilikuwa maarufu sana, baada ya Police wa Israel kumpiga huyo dogo ambae ni IDF , kisa tu ni myahudi mweusi...
Ilibidi Netanyahu aingilie kati..
Sasa itakuja kuwa wewe myahudi kutoka Muleba..

Angalia myahudi mwenzako alichofanyiwa, ilikuwa nia aibu kwa Israel hadi waziri mkuu ikabidi amuite huyo dogo..

Yaani polisi anampiga IDF kisa tu ni mweusi..

Nimeangalia video hiyo wala hakuna uhalisia angalia hapo nimezungushia hiyo video Ina miaka mingapi? Haionyeshi ilikuwa vipi na ilimalizika vipi.

Nimekuambia video kama hizo ni Propaganda tu video ya dakika moja utaelewa nini? Kwa sababu ulishachagua kutumika wewe tumika tu na mimi nitakuwa kila siku naleta nyuzi za Israel mpaka unye!!!
 
Umemsikiliza Netanyahu anachosema hapo? anasema ubaguzi hauna nafasi Israel na huyo dogo anasema inabidi jamii ya wayahudi wa Israel waanze kuwatambua wao kama Ethiopian jews..

Acha ubishi na ukubali kujifunza...
Miaka 10 nyuma si kitu, watu kama ni wabaguzi ni wabaguzi tu... sasa miaka 10 nyuma si 2015 hapo juzi?
 
Miaka 10 nyuma!!!! safari hii mpaka Unye Mavi nyuzi zitaendelea kushuka mpaka nirudi nyumbani utakuwa umekoma ubishi!!!!
 
Juzi huko marekanililitokea tukio la mtu kuwarushia bomu la petroli waandamanaji waliopinga vita Gaza na kutaka vita vikome
Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mohammed alitajwa kama muhusika

Lakini duru zinaarifu kwamba bwana huyo si mwarabu wa misri bali jasusi wa israel

Hata kule libya,alikamatwa bwana efrain Benjamin akiwa kama mkuu wa isis,lakini Benjamin alikua jasusi wa mossad aliyepandikizwa muda mrefu kiasi cha kuwa imam misikitu mbalimali

Pamekua na hofu israel ya kupoteza uungwaji mkono duniani kupitia karata ya 'anti semitic',hivyo kuanzisha kampeni ya kutafuta huruma.Hata tukio la kupigwa risasi wafanyakazi wawili wa ubalozi huko marekani inatajwa kuwa ni kazi ya ndani.

View attachment 3354595
View attachment 3354596
Hiki ndio chanzo chako!!!?
Leo nikiibuka na content ya kuwa wewe ni chawa na nikaweka chanzo cha utetezi wako wa chura kiziwi kwenye uchangiaji wako hapa JF, itakuwa sahihi mimi kuaminika!!???
 
Miaka 10 nyuma!!!! safari hii mpaka Unye Mavi nyuzi zitaendelea kushuka mpaka nirudi nyumbani utakuwa umekoma ubishi!!!!
Kwanza utakuta upo hapo Igunga unatudanganya humu unaishi Israel, Tel Aviv..
Wewe utakua unapewa tu story Israel kulivyo unakuja hapa unajikuta myahudi, pumbaf...
 
Kwanza utakuta upo hapo Igunga unatudanganya humu unaishi Israel, Tel Aviv..
Wewe utakua unapewa tu story Israel kulivyo unakuja hapa unajikuta myahudi, pumbaf...
Kuna shida gani nikiwa Igunga? Kwetu Mimi ni Kilwa-Kivinje Mmatumbi mimi!!! Endelea tu kuumia na safari hii mpaka Unye mavi nyuzi zitakuwa nyingi sana mpaka uumie tu!!!
 
Hawa Israel ndio wanao andika fake hadithi za kujidai kina Bukhari au Sahihi Muslim hao sio ajabu kufanya hayo

Unaweza kumkuta mpaa kahifadhi Qur'an ili ajidai Muislam afu utasikia anafanya vituko vya ajabu ajabu. Haviendani na maadili ya kislam.
Kama wewe unavyokula nguruwe!!
 
Back
Top Bottom